𝙎𝙄𝙈𝙐𝙇𝙄𝙕𝙄 𝙔𝘼 𝙉𝙀𝙍𝙄𝘼💋

[30/08, 20:24] 👑𝐌𝐖𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐆𝐎𝐎𝐆𝐋𝐄 ✍️💡: 🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦🌦 By director13 NERIA Sehemu ya 1 Mpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com Kwa majina naitwa Neria Justine Mwenda,ni mzaliwa wa njombe.nilibahatika kuishi na wazazi wangu wote wawili nikiwa mtoto wa pili.kwetu tulikua watatu,wakwanza ni dada yangu neema,wapili mie na watatu ni mdogo wangu nora. Katika familia yetu mie nilikua tofauti kidogo na wenzangu kwani nilikua mweusi sana kuliko wenzangu na pia nilikua naambiwa kuwa mm ni mbaya na wenzangu nyumbn, kitu nilichohisi kilipelekea hadi ndugu zangu wakawa hawana upendo sana na mimi hata mama nae alikua hana upendo sana na mimi zaidi ya baba yangu ambae ndie alinipenda sana.nilikua najiskia vibaya mana tokea nikiwa mdogo nabaguliwa.siku moja nilichukua kitenge cha da neema nikaenda nacho mtoni kuchota maji katika kutembea nilianguka bahati mbaya kitenge kikachanika kidogo,nikarudi mtoni nikachota tena maji kumbe ndoo imepasuka ndio nikagundua hivo nikarudi hivo hivo nyumbn,dada alikuepo na mama walivoniona akaanza da neema akasema hee wewe kituko si ulienda kuchota maji wewe?yako wapi na aliekuambia uvae kitenge changu nani?akanisogelea akakitoa kile kitenge mwilini akaona kimechanika akasema haa umekichana mama unaona hili na komwe lake limechana kitenge changu utanikoma leo akanizaba kibao mama akasema ivi ww upoje?ebu leta hio ndoo nikampa akasema amevunja na ndoo iv unajua bei yake ww hii,unavunja tu ndoo mbwa ww yn ww litoto iv nilikuzaa mimi ww au nilibadilishiwa hospital?neema akasema hata mm najiulizaga hilo swali mama ona jisura lake yupo tofauti na mm na nora yani mbaya huyu hata shepu hana ona yupo tu kama sijui kitu gani.nililia sana nilitukanwa mno hadi baba alipofika ndio akawakemea wakakaa kimya, baba akanichukua na kunipa biskuti nikatulia lkn nilikua nayaweka moyoni yote.nilisoma shule ya msingi hapo hapo njombe nikiwa darasa la nne nilikua nasinzia jikoni dada yangu alikua ameipua maji akasema hakuniona akaniunguza usoni kitu kilichopelekea kovu tena usoni.hata shuleni ni kama nilikua nabaguliwa mana si wengi waliokua wananipenda mimi darasani na nilikua na mara nyingi natukanwa kua nina sura mbaya sana,nilikua naumia sana lkn nasonga mbele ndio nilivo.nilimaliza darasa la saba na kufaulu vizuri sana nikachaguliwa kwenda songea girls,baba alifurahi lkn mama hakufurahia sana mana kipenzi chake neema alifeli kipindi anasoma,baba alisema nitahangaika hadi mwanangu aende shuleni,kweli alihangaika akapata ada na nauli na pesa ya sare za shule na vitu vingine.niliandaliwa hatimae nikapelekwa na baba mwenyewe shuleni,nilisajiliwa na kupangiwa bweni tayari kwa kuanza shule.wanafunzi waliponiona walianza kunishangaa mno nilivo lakini mm nilijikaza nilizoea hali ya kuwa tofauti,nilianza masomo lkn hata bwenini kwangu niliokua naishi nao walikua wananitenga sana hawakua na maongezi na mimi kabisa zaidi nikiwasalimia wanaitika nikiwa labda napaka mafuta wananitizama wanakonyezana wananicheka nilikua najiskia huzuni snaa lkn ndivo nilivo siwezi kujitupa.siku moja nilikua nafua sasa room kwetu hakukua na mtu yoyote nikashindwa kuazima ndoo moja mana mm ninayo moja,nikachukua ndoo moja nikaanza kufua mara mwenye ndoo kumbe alikua amerudi room akaona ndooMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com yake haipo akaja nakofulia akakuta nipo na ndoo yake akasema we mshenzi aliekuambia uchukue ndoo yangu nani?toka lini mm nashea vitu na wewe?hivi hujioni?unaeza shea kitu na mm wewe na sura yako kama masudi surambaya hio?ebu nipe ndoo yangu yn unawekea nguo yangu hayo malapulapu unayaita nguo hayo matambara ya kudekie shenzi ww akaishika akamimina nguo zangu chini huku ananitukana ukome kushika shika vitu vyangu yani ww sikupendi kama nn bweni lote halikupendi sijui upoje yani tunatamani uhame mana na msura wako huo namikovu yako hio unasababisha chumba chetu kionekane cha ajabu mpaka watu wanaogopa kuja kwa sababu yako ukome kushika shika vitu vyangu.nilijiskia vibaya sana nikajikuta machozi yananitoka,yeye akaenda kaosha ndoo yake ssaa hapo kulikua na wanafunzi wengine wanafua wengine walikua wananicheka lkn alikuja msichana mmoja alikua anasoma kidato cha pili yeye akanisaidia kuokota nguo za chini akaweka kwenye ndoo yake nikamuangalia nikasema asante,akasema usijali dear nyamaza kulia njoo tuendelee kufua.watu wengine walikua wanatuangalia,tukafua na Yule msichana hata jina nilikua simjui tukamaliz atukaenda kuanika.akasema unaitwa nani?nikasema naitwa neria,akasema una jina zuri dia mm naitwa aymar nikasema nafurahi kukufahamu,akasema ushaoga?nikasema bdo akasema kajiandae tukaoge,nikasema sawa,akasema unakaa bweni gani?nikamuonesha akasema sawa mm nakaa lile pale,nikasema sawa.niliingia room nikawakuta wete wapo walianza nishambulia kwa matusi nikome kushika vitu vyao nilitukanwa hadi kupigw amasingi kabisa nikawaomba msamaha na kuahidi sitorudia tena lkn waliendelea wakati huohuo aymar akaingia akawakuta wananichamba mm nimesimama nalia,aymar akasema nyie mbona mnamtukana mwenzenu jmn kama sio binadamu kwa lipi haswa?kisa ndoo jmn mnamtukanaMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com hivo?mmoja akasema we nawe hayakuhusu unavoshobokewa an wengine hapa shule usifkiri wote,aymar akasema yananihusu sababu neria ni rafiki angu,ivi mnafkir alipenda yeye awe na kovu usoni?alipenda apate shida jmn dunia tunapita hujafa hujaumbika acheni dharau mnajua huyu kesho atakua nani?wakacheka akasema endeleeni malipo ni hapahapa duniani twende tukaoge rafiki angu,tulitoka huku mm nikiwa nalia aymar alinibembeleza sana nikasema aymar mm sijapenda kuzaliwa mbaya natukanwa sana nanyanyapaliwa kwa nini?aymar akasema dia ww sio mbaya ww upo tofauti kidogo dia sababu ya kovu na watu huwa hawaelewi utofauti sababu wao ndio wabaya wanaroho mbaya,ww sio mbaya neria mm nakupenda sana.akanikumbatia akasema ukitaka kitu chochote muda wowote njoo kwangu usiongee na hao wasikusumbue ww uje kwangu ninacho nitakupa,kama umeishiwa sabuni au unataka ndoo,huna pesa ww niambie sawa neria mm ni rafiki ako kuanzia leo usiwe mnyonge sawa.nikasema sawa.tuliogga nikaenda room nikavaa msichana mmoja akasema kwa io umeamua kujipendekeza kwa msichana anaeonekana mzuri na maarufu shule nzima ili na ww uonekane mzuri au nini?shoga ww mbaya kama ulipigwa na bomu wengine wakacheka,mm nilikua kimya nikawa napaka mafuta wao wananicheka tu,aymar akaja akasema umemaliza twende tukanywe maziwa mm nina njaa sikunywa chai,nikasema sawa .nilianza urafiki na aymar japo yeye alikua kidato cha pili lkn kila mahali nilikua nae hadi kusoma nilikua nasoma nae ananifundisha vitu vingi sababu yeye pia alikua na akili sana darasani.wanasema Mungu hakupi vyote lkn aymar alipewa vyote alipewa akili,uzuri na upendo pia,alinipenda sana na hakua na rafiki mwingine zaidi yangu,mm nilikua naongoza darasani mpaka wengine wakawa wanasema mwache asome tu mana asiposoma na ubaya huo ataenda wapi?sie tutaolewa na matajiri yeye je mwanaume gani atajitoa muhanga kuoa kituko kama yeye hehehee.walinicheka lkn sikujali.nilikua nikirudi nyumbn likizo na matokeo yangu mama wala hata hafurahii.nilisoma nilivofika kidato cha pili mtihani wa taifa nilipata A zote ns nikaongoza kwa matokeo walimu wangu walinipenda na zawadi ya amdaftar nikapewa aymar nae alinipa zawadi,kutokana na kwetu kuwa na hali mbaya kiuchumi aymar alikua akija toka likizo anakuja na sare za shule mpya naona kwao maisha ni mazuri mana alikua anaishi arusha yeye ivoa ananiletea na mm sare mpyaa kuanzia kiatu shati,sok hadi sweta pia na nguo za kushindia nikawa na mie nakua mtu.tulipendana sana na aymar.sikuwahi shuka darasani niliku naongoza hadi wakaanza kuniita mchawi tena eti natumia akili za wenzangu kufaulu sikujal mana nilikua nasoma,kutokana na aymar wanafunzi wengi kumpenda ilibidi wanipende na mm tu ivo nikawanaonge ongea na watu kidoko kunitenga kukaisha,aymar alimaliza shule akaniachia vitu vingi akanipa na namba yake ya simu akasema niwe namtafuta nikihitaji kitu nimwambie,nililia sana lakini ndio hivo.na mie mwaka ukaisha nikamaliza shule sasa hapo nimekua mdada lkn sina sura wala shepu,nilirudi nyumbn baba alinifurahia sana lkn ndugu zangu na mama wala hawakua na muda na mm kunisema na kunitenga kama kawaida,wanaweza kuw akama wanaonge kitu nikitokea mm wananyamaza na wakati huo mdogo mm nimemaliza kidato cha nne mdogo wangu nae alikua amefanya mtihani wa kidato cha pili anasubir majibu mana alifaulu kwenda shule za kata.siku moja nikawa nimefua nguo zangu zikiwemo nyingi nzuri alizokua amenipa aymar,mama akaziona akasema nguo za nani hizo?umezitoa wapi?umeiba shuleni?niakasema hapana mama sijaiba mbona?akasema ww ni mwizi mana kusema umehongwa mwanaume gani akutake wewe ww ni mwizi akaita neema njoo ebua anua nguo hizo hapo haraka huyu masud ni mwizi anua nguo hiz,neema akaanua wakaondoka nazo nililia nikasema mama dadangu wa shule amenipa hizo nguo sijaiba mm,lkn hawakuniskiliza ndo kwnz wakamwambia baba nae akaja amefura hasira huku ameshika kiboko…………itaendelea Full inapatikana kwa tsh.1000 tu njoo INBOX nikutumieMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com [30/08, 20:38] 👑𝐌𝐖𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐆𝐎𝐎𝐆𝐋𝐄 ✍️💡: 🌦 NERIA Sehemu ya 2 I'm on Instagram as @mwandishiwagoogle. Install the app to follow my photos and videos. https://www.instagram.com/invites/contact/?i=sda0eqnmt4kn&utm_content=s73g8nz Akasema neria kwa nini umekua mwizi?hivo ndivoMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com nilivokufundisha mimi?nikasema baba sijaiba baba nilikua na dadangu amenipa hizo nguo sijaiba baba na nina picha zetu na rafikia angu huyo baba nikuoneshe,baba kasema haraka nioneshe nikaenda chumbn kwangu nikachukua bahasha iliokua na kadi na barua za aymar na picha,nikamuonesha baba picha uzuri kuna picha aymar alivaa nguo alizonipa na picha zingine niko mm na yey na mm nimevaa nguo hizohizo baba akasema nilitaka nishangae neria nimekulea vizuri leo uwe mwizi hapana akili ilikua hainipi kabisa mwanangu.akaita mama neema we mama neema mama kaitika akaja,baba akasema mpe neria nguo zake haraka hajaiba mwanangu amepewa na rafiki ake nimehakikisha,mama akasema unamtetea tu unafugaMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com jambazi, mimi nimeshazichoma moto mm hizo nguo.baba akasema nilikuambia subir sasa umezichoma nini?mama akasema nilijua za wizi hivo nikaona bora kupoteza ushahidi kuliko waje wamkamate huyo mwanao wizi.mm nilihuzunika japo kuna zingine chache nilikua nazo kwenye begi.lile likapita nilikaa wik nikaanza kuona dada neema anavaa zile nguo zangu akitoka nikamuuliza nikasema dada mbona nguo zangu hizo?akasema nguo zako unauhakika?kwa io ww peke ako ndio unaweza kuwa na nguo kama hizi si ndio?au unasema mm mwizi si ndio?lione na msura wake lichoyo kama nini vile toka hapa mm sina nguo za mtu tokaaa nisikuone hapa shenzi ww,nilihuzunika nikaona nikae kimya.niliishi pale nyumbn kama mtu baki,kila kitu nilitakiwa kujitegemea nisipomuomba baba imekula kwangu,na mm ndio mpishi na mfanyaji kazi ukinikuta na mama yangu mzazi unaweza sama n mama wa kambo na mtoto wa kambo vile anavonitukana na kuninyanyapaa.kuna siku baba alisema nimsindikize mahali anaenda kuangalia kibarua,nikamsindikiza tukiwa njiani baba kasema mwanangu najua unaishi amisha magumu sana pale nyumbn,uwa natamani sana kwenda na ww sehemu yoyote ninayoenda lkn haiwezekani mwnangu nakuomba sna jikaze na wachukulie ni wajinga mana Yule ndio mama yako na wale ni ndugu zako mwnanagu,mm nikasema baba ivi Yule ni mama yangu kabisa wa kunizaa au nina mama mwingine?baba aliniangalia akasema ni mama yako mzazi mwanangunaonge ongea na watu kidoko kunitenga kukaisha,aymar alimaliza shule akaniachia vitu vingi akanipa na namba yake ya simu akasema niwe namtafuta nikihitaji kitu nimwambie,nililia sana lakini ndio hivo.na mie mwaka ukaisha nikamaliza shule sasa hapo nimekua mdada lkn sina sura wala shepu,nilirudi nyumbn baba alinifurahia sana lkn ndugu zangu na mama wala hawakua na muda na mm kunisema na kunitenga kama kawaida,wanaweza kuw akama wanaonge kitu nikitokea mm wananyamaza na wakati huo mdogo mm nimemaliza kidato cha nne mdogo wangu nae alikua amefanya mtihani wa kidato cha pili anasubir majibu mana alifaulu kwenda shule za kata.siku moja nikawa nimefua nguo zangu zikiwemo nyingi nzuri alizokua amenipa aymar,mama akaziona akasema nguo za nani hizo?umezitoa wapi?umeiba shuleni?niakasema hapana mama sijaiba mbona?akasema ww ni mwizi mana kusema umehongwa mwanaume gani akutake wewe ww ni mwizi akaita neema njoo ebua anua nguo hizo hapo haraka huyu masud ni mwizi anua nguo hiz,neema akaanua wakaondoka nazo nililia nikasema mama dadangu wa shule amenipa hizo nguo sijaiba mm,lkn hawakuniskiliza ndo kwnz wakamwambia baba nae akaja amefura hasira huku ameshika kiboko…………itaendelea Full inapatikana kwa tsh.1000 tu njoo INBOX nikutumieMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com [30/08, 20:38] 👑𝐌𝐖𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐆𝐎𝐎𝐆𝐋𝐄 ✍️💡: 🌦 NERIA Sehemu ya 2 I'm on Instagram as @mwandishiwagoogle. Install the app to follow my photos and videos. https://www.instagram.com/invites/contact/?i=sda0eqnmt4kn&utm_content=s73g8nz Akasema neria kwa nini umekua mwizi?hivo ndivoMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com nilivokufundisha mimi?nikasema baba sijaiba baba nilikua na dadangu amenipa hizo nguo sijaiba baba na nina picha zetu na rafikia angu huyo baba nikuoneshe,baba kasema haraka nioneshe nikaenda chumbn kwangu nikachukua bahasha iliokua na kadi na barua za aymar na picha,nikamuonesha baba picha uzuri kuna picha aymar alivaa nguo alizonipa na picha zingine niko mm na yey na mm nimevaa nguo hizohizo baba akasema nilitaka nishangae neria nimekulea vizuri leo uwe mwizi hapana akili ilikua hainipi kabisa mwanangu.akaita mama neema we mama neema mama kaitika akaja,baba akasema mpe neria nguo zake haraka hajaiba mwanangu amepewa na rafiki ake nimehakikisha,mama akasema unamtetea tu unafugaMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com jambazi, mimi nimeshazichoma moto mm hizo nguo.baba akasema nilikuambia subir sasa umezichoma nini?mama akasema nilijua za wizi hivo nikaona bora kupoteza ushahidi kuliko waje wamkamate huyo mwanao wizi.mm nilihuzunika japo kuna zingine chache nilikua nazo kwenye begi.lile likapita nilikaa wik nikaanza kuona dada neema anavaa zile nguo zangu akitoka nikamuuliza nikasema dada mbona nguo zangu hizo?akasema nguo zako unauhakika?kwa io ww peke ako ndio unaweza kuwa na nguo kama hizi si ndio?au unasema mm mwizi si ndio?lione na msura wake lichoyo kama nini vile toka hapa mm sina nguo za mtu tokaaa nisikuone hapa shenzi ww,nilihuzunika nikaona nikae kimya.niliishi pale nyumbn kama mtu baki,kila kitu nilitakiwa kujitegemea nisipomuomba baba imekula kwangu,na mm ndio mpishi na mfanyaji kazi ukinikuta na mama yangu mzazi unaweza sama n mama wa kambo na mtoto wa kambo vile anavonitukana na kuninyanyapaa.kuna siku baba alisema nimsindikize mahali anaenda kuangalia kibarua,nikamsindikiza tukiwa njiani baba kasema mwanangu najua unaishi amisha magumu sana pale nyumbn,uwa natamani sana kwenda na ww sehemu yoyote ninayoenda lkn haiwezekani mwnangu nakuomba sna jikaze na wachukulie ni wajinga mana Yule ndio mama yako na wale ni ndugu zako mwnanagu,mm nikasema baba ivi Yule ni mama yangu kabisa wa kunizaa au nina mama mwingine?baba aliniangalia akasema ni mama yako mzazi mwananguww ni mtoto wetu mm na ww kama wale wengine ila sijui nn kinamfanya akutenge.mwanangu ww soma kw abidii sana tafuta maisha yako mm nakuoteaga ndoto mwnanagu nakuona mbali sana mwanangu na mm baba yako ukifaulu nitakusomesha mpaka chuo kikuu hukoo mwanangu uje uwe na maisha mazuri hapo ndipo moyo wangu utatulia na kusem sasa Mungu unaweza nichukua,mana saivi namuomba Mungu asinichukue sababu yako.nikalia nikasema baba asante baba nakuahidi nitasoma kwa bidii sana nitafika hadi chuo kikuu.baba akasema sawa.tulienda akapata vibarua vya kulima nikasema nitakua nakusaidia baba.akasema sawa,tukarudi nyumbn usiku nikapika kande kwa ajili ya kubeba shambani mana tukienda asubuhi saa 11 kurudi ni saa moja jioni,niliamka saa 10 jioni nikapasha kande nikaweka kwenye vyombo vya kubebea,nikafunga na maji ya kunyw akwenye kidum baba akaamka akanawa usoni haoo tukaanza safari ya kwenda kibaruani,tulilima mnoo na mm nilijua baba ananitaftia pesa ya kusomea hizo nilikua nafanya jitihad sana za kulima japo nachoka silimi kama baba lkn nilikua najitahidi.tulifanya vibarua wiki mbili mfululizo ytukapata pesa nzuri tu,mama akanza chokochoko,siku moja jioni tuliwahi kurud na baba,baba akaoga akasema anaenda kuongea a wenzie kidogo huko kilabuni,tukabaki na mama nae alikua anaandaa mboga za majani mchanganyiko na maharage mbazo alikua anapika kila siku anaenda kuuza huko huko kilabuni na pesa ananywea tena pombe hukohuko,na mm nikaenda kuoga mamaMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com akaniita kasema we neria hebu njoo,nikaenda alikua na da neema pamoja na nora wote jikon,mama akasema hiv kati ya mm na ww nani mke wa mwenda humu ndani?nikastuka nikasema mama swali gani hilo unaniuliza?akasema hujaskia au?nikasema mama jamani sijakuelewa,akasema naona mm na ww tunashea mume mana siku hizi kutwa ni ww na mme wangu,anaenda huko anapata pesa anakupa ww mm haniambii kitu sasa useme na chumba nikupishe,hilo liliniuma nikasema hapana leo acha na mm bubu niongee,nikasema hivi ww ni mamangu kweli wa kunizaa?au uliniokota labda?unaweza nifkiria hivo mwanao wa kumzaa na babake wa kumzaa kweli we mama?mm na baba tunaenda shamba tunateseka tunarudi tumeumia mm najitaftia pesa ya shule na baba nae pesa za familia ni kosa mama hadi uniambie hivo?mama kama umenichoka ndani kwako niambie lkn sio kunisemea laana kama hizo,iv unawaza nini wewe mama?mama aksema unanidharau eeh?kufika hilo darasa la nne unanidharau sasa unanijibu utakavyo si ndio,nikasema nimechoka mama leo umevuka mipaka na hili nitalifikisha mbali,mama alinikamata na wanae na kuanza kunishambulia kwa vipigo na matusi nikakimbia na nilikua na kitenge tu nikakimbilia kwa mwenyekiti wa kitongoji,nilifika nalia nikamwambia naomba aniulizie kwa baba mama yangu yuko wapi niende.mwenyekiti akasema kuna nini,nikamweleza kila kitu kuanzi akutengwa na matusi ya leo kuwa mm natembea na baba,mwenyekiti alituma mtu akamuita baba na mama wakaja,baba alikua haelewi kitu akashangaa kunikuta pale mm na kitenge tu huku nalia nimeumizwa hovyohovyo na vifinyo na kucha.baba aksema kuna nini?mwenyekiti akaeleza baba alikasirika sana alimkata jicho mama akasema siamini kama nilioa kichaa mwendawazimu mwenye akili matope kama huyu,unawezaje onge amaneno kama yake?mama alijitahidi kuruka lkn alibanwa ikabidi asema ni hasira mana mme wake hana mpango nay eye,baba akasema yeye anampango na watoto wake wawili anamuacha huyu kama hajamzaa yeye mwanangu hata mafuta ya kupaka wanamfichia chakula wanamnyima huyu mtoto mwenyekiti amekua mpaka kama sio wa pale utafkit nilizaa huko nikaleta pale jinsi huyu mwanamke anavomfanyia imefika hatua mtoto wangu ananiuliza baba Yule kweli ni mama yangu?kama sio yeye nioneshe mama yangu alipo kweli?baba kaanza kulia,mwenyekiti akambembeleza akasema pole sana mzee,baba akasema nawaza kila siku nikifa mm sa iv huyu neria atakua na hali gani ikiwa mamake mzazi na ndugu zake wanamfanyia hivi?nilikua nashuhudia mara nyingi wananfunzi wenzie wakimcheka na kumzomea sababuyupo tofauti anajikaza sana huyu mtoto,mwenyekiti nyie ni mashahidi huyu mwnamke alibeba mimba miezi tisa na akamzaa neria wangu si ndio mwenyekiti au naongopa?naomba mnisaidie kujibu hili hata mwnaangu asikie hapa mana kw aanayomfanyia mama yake yanamoa maswali mtoto anajiuliza je huyu ni mama yake wa kumzaa au mama wa kambo mana mambo anayomfanyia si ya kiungwana kabisa mtoto anahatia gani huyu mtoto ameunguzwa na dadake lkn hajawahi hata lalamika alichukulia ni bahati mbaya,kila kitu kuhusu huyu mtoto wnaona kibaya sasa mtoto wnagu aende wapi kama familia yake inamnyanyasa kiasi hiko?mwenyekiti naomba nisaidie kumjibu mwnaangu kuhusu mama yake.mwenyekiti akasema neria mama huyu ndiem mama yako mzazi alikubeba tumboni kwako na kukuzaa miezi tisa kabisa na kukunyonyesha haya mengine ni mapungufu ya kibinadamu usiweke rohoni neria mchukulie mama yako kama alivyo tu,baba aksema mwenyekiti sasa iv huyu mtoto ananisaidia kufanya vibarua ili tulime haraka naMpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com kwa ukubwa apate pesa ya shule anataabika angalia hata mikono yake mwenyekiti imechubuka mwanagu naumia sana anavotesekamneria wangu sababu baba yake ni maskini wakati mama yake na wanawe wapo tu nyumbn wamekaa kazi yao kudai pesa ya kila kitu kwangu neria anajitegemea anajinunulia mahitaji yake kwa mshahara naaopata kutokana na kazi zake ngumu za kulima anazofanya mwanangu analiama sana bila kuchoka na hata akirudi nyumbn chakula hakuna anajipikia na halalamiki wlaa hasemi na mtu leo mama yake anakuja kuongea maneno ya kashfa ya laana kabisa eti mm natembea na mwanangu,machozi yalizidi mtoka baba akaendelea kusema mwenyekiti naomba huyu mwanamke asirudi kwenye mji wangu naomba aende kwao mana akirudi pale nitafanya kitu cha ajabu sana dunia ikanishangaa na wanangu wakanichukia nina mengi sana moyoni juu ya huyu mwanamke lkn kwa hili hapana naomba alale hapa kesho mapema aende kwao mm nitaenda mchana kuwajulisha nini kimetokea na kwa nini nimemrudisha kwao na maamuzi nitakayokua nimechukua .nauli hii hapa akatoa pesa baba akaiweka juu ya meza akanyanyuka akasema neria simama mwanangu twende nyumbn kwenu akanipa koti lake nivae……..itaendelea njoo inbox uisome yote kwa Tsh.1000Mpesa 0746876270 inapatikana kwa Tsh1500 Au Searching Google or chorem Simulizizaonline.blogspot.com Au 👇👇👇bonyza link https://Simulizizaonline.blogspot.com

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA

Mpya zaidi Nzee zaidi

Ads related

Smartwatchs