𝙃𝙤𝙪𝙨𝙚𝙜𝙞𝙧𝙡 𝙥𝙖𝙧𝙩 𝙤𝙣𝙚 𝙖𝙣𝙙 𝙩𝙬𝙤

Simulizi Mpya inaanza leo...... 𝙗𝙞𝙣𝙩𝙞 𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞......🌷🌷 sehemu ya 01 𝙗𝙮: 𝙢𝙬𝙖𝙣𝙙𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙬𝙖 𝙜𝙤𝙤𝙜𝙡𝙚 2024 Mara nyingi sisi wasichana wa kazi huwa tunaonekana hatuna thamani na vile vile tunaonekana kana kwamba kwetu kuna njaa au masikini wa kutupwa.. Mara nyingi watoto wa kiume wa mabosi wetu huwa wanatuona sisi ni sehemu ya kujifunzia mapenzi,kila mtoto wa kiume atataka alale kwanza na sisi akishapata uzoefu ndo aende kuwatafuta hao wa nje. hata Mimi yamenikuta hayo,wa toto wa bosi wangu walikua wakirudi likizo kutoka chuo basi ilikua na mapigano wenyewe kwa wenyewe,kila kijana alitaka awe wa kwanza kunigusa kuna mda usiku mmoja wao akaja chumbani kwangu,alidhani atanipata kirahisi....akawa ananambia eti atamwambia mama ake aniongezee mshahara....nikamkatalia..akaanza kutumia nguvu..nikatoka nikaenda lala sebuleni. katika ule mtaa(mtaa wa kinondoni b)mimi ndo nilikua msichana wa kazi mdogo(miaka 14) ndo kwanza nilikua nimeanza kutoka maziwa.... Nilipokua chumbani nikasika baba(mume wa boss wangu) anaongea na mkewe(boss wangu sababu yeye ndo akionilipa mshahara) baba alikua anafoka kwamba mashati yake yote machafu na Leo ana kikao,mama akawa anajitetea kwamba huwa anachelewa kurudi kazini(anafanya kazi benki) hivyo anakosa mda. Baba akawa anatoka chumbani kwao tayari kwa kwenda kazini,akiwa amevaa shati ambalo kwa kweli lilikua chafu(kumbuka mama alinikataza kufua nguo za mumewe,nikawa nafua nguo zake na za wanae wa kiume) A lipotoka mlango wa nje,taratibu nikamkimbilia na kumuita polepole!!!!akageuka.......nikamuonesha shati lililokua mikononi mwangu nilikua nimelifua na kulinyoosha pia,lilikua ni shati lake ambalo nililikuta kwenye kochi wiki moja iliyopita...nikalifua nikalinyoosha na kumtunzia chumbani kwangu..... Akanifata taratibu na kulichukua mikononi mwangu....akastaajabu!!! akanambia..umeniokoa,nilikua naaibika leo kikaoni...nikamjibu,usijari!!!akacheka....!nami nikacheka pia!akatoa elfu kumi akanipa..nikamwambia kazi njema...akajibu nawe pia huku akitabasamu... Baada ya siku kadhaa kupita.asubuhi moja baada ya baba kwenda kazini mama aliniambia mchana baba anarudi,kwahiyo nimuandalie chakula...kiukweli mama alikua bize sana,kuna baadhi ya vitu hata vidogo vidogo alishindwa kumfanyia mumewe. Kiukweli sikufanya makosa...nakumbuka mama alinipa pesa ya kununua samaki,nyanya pamoja na kitunguu tu.. Nilichofanya nikachukua pesa yangu niliyokua nimeitunza na kununua baadhi ya vitu...nilinunua tangawizi,saumu,karoti,hoho,bamia,cabage ndogo na mchicha. Nilipofika nyumbani haraka haraka nikaanza mapishi(kumbuka hapo nna miaka 14)... nikachukua kabeji nikamkatia kachumbari kidogo huku nikichanganya na karoti na hoho kidogo.afu kabeji nyingine nikamkaangia... Ile tangawizi na swaumu kidooogo nikatia kwenye samaki ili ilete radha na harufu nzuri...nikatia na hoho na karoti pia.huku bamia nikakaanga kivyake... Baada ya kumaliza mapishi,nikaandaa mezani.nikiwa nimechemsha maji ya moto kwa ajili ya kunawa.nikaandaa chumvi pamoja na stiki za meno Baada ya baba kurudi moja kwa moja akafikia mezani,Mimi nilikua nimetoka kuoga...nikaenda mezani kumnawisha...nikamwambia karibu huku nikitabasamu.....akajibu shukrani huku akicheka Baada ya kula baba akaniita..nikaenda..nilivyofika pale akawa ananiangalia kwa kunitathmini....mwisho akaniuliza una miaka mingapi...? nikamdanganya 16...akasema namuheshimu sana mke wangu lakini.....sisemi kwamba unamzidi kupika....lakini....akawa ni kigugumizi.......mwisho akaongea kingereza....sikuelewa maana yake lakini nililikariri!alisema; I miss alot of things from my wife.but to u,I feel comfortable!!!! ******** Siku zote baba alikua anawahi kuamka na maji anajitengea mwenyewe..siku moja moja alikua anatenga mama akiwahi amka. Siku moja nikaamua kubahatisha...huku nikiombea baba awe wa kwanza kuamka.... Nakumbuka niliamka saa kumi na moja kamili nikawasha mkaa na kutenga maji ya kuoga(kumbuka baba alikua anaoga maji ya baridi asubuhi) mimi nikaamua mtengea ya moto... Baada ya maji kupata moto nikamuandalia bafuni...(nikayanyunyizia iriki ili yatoe harufu nzuri)

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA

Mpya zaidi Nzee zaidi

Ads related

Smartwatchs