NILIOLEWA NA MWANAUME UTAJIRI WAKE NI WA KAFARA 😭😭 sikujua ni Ibilis mkubwa
utajiri kaupata kwa kumu😭uwa mama ake na mama ake 😭😭 amegoma kufa
Sehemu ya 01
Mwandishi bahari ya simulizi
Tuanze kwa pamoja
Aisee haya mambo yapo 🤦♀️
Kabla ujaolewa na mwanaume tajiri fuatilia kwanza 😭😭😭 historia ya maisha yake nilijichanganya jamani ni story ndefu niliolewa na mwanaume ambae utajiri wake ni iluminat na ushetwan 😭😭 sikujua ni Ibilis mkubwa
utajiri kaupata kwa kumuuwa mama ake na mama ake 😭😭 amegoma kufa kiroho yupo niliolewa na mwanaume kwa harusi kubwa na tukaenda kuishi Arusha moshono hizi ndege Kama daladala kwangu 🥹
nachotaka napewa Ila mume wangu rafiki zake tu wanatisha ni matajiri kweli yani tulikaa mwaka mmoja tu nikabeba mimba siku moja nimelala na peke angu ndani nikamuona mama mmoja ambae ni mama niliyemuona Kwenye picha iliyobandikwa ukutani na mume wangu Kwenye sebre yetu na uyo mama alitambulishwa kwangu Kama mama Mkwe wangu marehemu 😭 yule mama aliniambia naomba huyo mtoto nilikua na mimba ya miezi 7 niliogopa nikaomba sana akapotelea Lakini pamoja na maombi aikusaidia kitu asubuhi niliamka uajuzito umeharibika na mume wangu alipokuja usiku uke nilimsimlia nilichokiona na alikua mkali sana na akaniambia ni mawenge yangu tu mama yake alishapumzika daaah 🤦♀️ asubuh nikapelekwa hospitalini nikasafishwa Lakini mmmh niliwaza sana siku nyingine nikamkuta mume wangu chooni kawasha mishumaa anaongea peke
nikamuita mme wangu alishtukaaa kweli na alitoka na jasho kweli akaniambia akafunga mlango wa choo kilikua choo cha chumbani usiku sa 8 🥹
mmmmh hii tabia ya kusali chooni kwa muda mrefu nilianza kumfuatilia kila akiamka na mm naamka nakwenda kumchungulia nakuta anasali 😳 anaongea peke ake Ila maneno anayoongea akiwa na mishumaa amtaji mwenyezi Mungu anaongea rugha 😳 yasiyoeleweka
Je nini kItaendelea...
NILIOLEWA NA MWANAUME UTAJIRI WAKE NI WA KAFARA 😭😭 sikujua ni Ibilis mkubwa
utajiri kaupata kwa kumu😭uwa mama ake na mama ake 😭😭 amegoma kufa
Sehemu ya 02
Mwandishi bahari ya simulizi
Sehemu ya pili
Daah nikawa najiuliza why mume wangu anakua na mambo ya maajabu hivi harafu pia ajawahi nieleza undani wa familia yake siwajuhi ndugu zake upande wa mama yake Kwahiyo yeye ana ndugu upande wa baba tu 😳
Miezi miwili mbele akaniambia mke wangu nataka watoto naomba unibebee mimba nitakupa zawadi nzuri
kweli nikategesha siku za mimba nikapata ujauzito siku nagundua tu na ujauzito mume wangu alifurahi sana 🤦♀️
na kuna kitu mithiri ya shanga nyeupe Ina ng’aa na akaniambia ni urembo tu vaa mke wangu napenda mwanaume anavaa vitu vya dhaabu nikafurahi na kukubali kweli tumeishi hivo hivo vituko vikawa vimepungua
Miezi 9 nikapata mtoto wa kike ❤️🥰 na tulifurahi kweli tukafanya bonge la party mtoto alipofikisha miezi minne baba yake akaleta ka umbwa vile vya kizungu kwaajiri ya mtoto
kitu nilichokuja kugundua yule mbwaa akiumwa na mtoto anaumwa pia
usiku naamka nakuta mtoto amelala chini mara anacheza na kaumbwa na Ana miezi 6 kipindi hicho baba yake alikua anaonyesha kumjali sana na mimi nilikua ujauzito mwingine wa miezi miwili 🤦♀️ mwingine
Yule mbwa alikula kimfuko cha plastic akafariki tukamzika niliumia kweli kwasababu alikua anafanya mwanangu anakua busy na wa dada wa kazi nilikua nao wawili na nilishout sana why wapo busy mpaka mbwaa anakula mfuko duhhh zilipita siku 4 tu na mwanangu akaugua gafla na kufariki hospitalini walisibitisha hakuna tatizo lilomuua yani mtoto aliumwa ka homa ka masaa kadhaa nikapuuza Wenda ni vi homa homa tu vya watoto😭 akasinzia kumbe ndio kafariki
tumekaa mmmh Mbona Leo julia kalala sana namshika mwanangu kawa wabaridi mwili umekakamaa na anatoa harufu kali Kama harafu ya yule mbwaa alifariki pia nzii zilikua zinamfuata mtoto na kafariki muda mfupi baba yake alilia sana hata Mimi nilibaki Kwenye mshangao maana mtoto alifariki na damu Kwenye pua zilimtoka yani niliuliza wafanyakazi mara mbili mbili kwani walimpaa maziwa na nini ama yale maziwa yalikua na shida Lakini yote kwa yote tayar alishakufa tukazika niliumia mnoo mwezi ukapita 🥹
Usiku mmoja nimelala peke angu nikaota pale tulipomzika mtoto kuna wanaume wengi wenye suti nyeusi tu wamezunguka kaburi la julia 😭 niliamka nikasali na kulia sana wakati nalia niliona mwanamke yule yule mama angu mkwe anafunza Kwenye mikono na anataka kunishika Kwenye bega huku anatoa machozi na nguo nyeupe 😳😳😭🙌🏻 eeeeh nilishtukaa nikapiga kelele nikatoka nakimbia hadi Kwenye chumba cha wa dada wa kazi 😔
Nikampigia mume wangu hakupokea
Je nini kimetokea
Full 1000
NILIOLEWA NA MWANAUME UTAJIRI WAKE NI WA KAFARA 😭😭 sikujua ni Ibilis mkubwa
utajiri kaupata kwa kumu😭uwa mama ake na mama ake 😭😭 amegoma kufa
Sehemu ya 03
Sehemu ya tatu hiyo 😳
Wadada nikawaamsha jamani kuna mzimu humu walishtuka kweli dada kweli
twende tuone tukaongozana wote watatu 😳😳 kufika chumbani kwangu hakuna mtuu pametulia tu na maji yanatoka kidogo kidogo chooni taa zote zimezimwaa wakaniambia mmmh dada ama ni uoga wako tu mbona hamna chochote ama ulizima taa kiza ndio kimekutisha 😳 daah mimi nilibaki kwenye mshangao nikasema mimi
Sijazima taa mbona nimetoka taa zinawaka na nani kafungua maji daah niliomba kulala na koku 🤦♀️ chumbani kwangu na mwingine akaenda kulala chumbani kwao tukafunga mlango tukalal mpkaa asubuhi 🤦♀️ asubuh niliamka kichwa kinauma pia nilitapika sana 🙌🏻
na niliumwa mnoo nyonga mpaka nikadhani kiumbe changu kitaharibika tumboni 😭 Mungu ni mwema siku
Ikaisha vizuri jion mume wangu alinitafuta na akaniambia nilikua safarini nakuja dar nilikwenda kwenye kikao cha kazi malawi nikamwambia nilikupigia mme wangu kwasabau nililala na uwoga sana baada yakumuota mtoto wetu akaniambia usijali harafu naomba ujiandae vizuri leo usiku kutakua na wageni marafiki zangu so nitatuma watu wakupamba muda si mrefu kwaajiri ya party hiyo mmm😳 nikamwambia mbona ujaniandaa mme wangu akaniambia hata mimi sikujua wageni watakuja leo kwajairi yakunisalimia na kunipa pole yakufiwa na mwanangu kwahiyo watakuja watu kwaajiri ya maandalizi na wewe pia ujiandae
nikasema sawa nilifurahi watu wanakuja kutusalimia 🥹 maana tulipata msiba wa mtoto wetu na walikuja lakini wachache duh lakini mbona wanakuja usiku na ni gafla basi sijakaa sawa akanipigia tena akaniambia “ mke wangu usinihisi vibaya kua na aman nilikua malawi na nimefika Airport jana leo nipo njian kuja huko nyumbani ila nimepita hotel kujiandaa kwaajiri ya wageni nitakuja nao mimi kua na Aman mke wangu” nikamwambia usijali”
sa12 kamili geti likagongwa wakaingia watu wa kupamba na kila kitu chao 😳
Je nini KITAENDELEAAA!! "
SIMULIZI MPYAAA kabisa na imakamilika mpk mwisho kabisa
Kupata yote ni 1000 TU
[03/10, 00:26] +255 693 292 583: NILIOLEWA NA MWANAUME UTAJIRI WAKE NI WA KAFARA 😭😭 sikujua ni Ibilis mkubwa
utajiri kaupata kwa kumu😭uwa mama ake na mama ake 😭😭 amegoma kufa
Sehemu ya 04 na 5
walipamba vizuri sana na walikuja na vinywaji pamoja na mbuzi watatu mweupe mweusi na mbuzi wa rangi ya mbwa
wakawasha majiko yao wakaanza kuchoma nyama na vinywaji vya kila haina viti vikiwa vimepambwa vizuri nililetewa mtuu wa makeup ndani akanipamba vizuri na gauni kubwa na kitambaa nikafungwa vizuri kama mwana Igeria 🥰❤️ mashallah nilipendeza sana na ile nguo nyekundu but mimi sikupenda kuvaa nguo nyekundu basi kimya kimya nilijiongelea mbona hii party inaonekana ni kubwaa sana lakini mbona mume wangu hakusema mapema niwaalike rafiki zangu na ndugu zangu na mbona mambo yanaenda haraka haraka tu hata sielewi 🙇♀️ ngoja nikae nione mwisho wa haya yote
Tulikaa sana kwa kusubiri iyo party mpaka sa 7 usiku na mume alinitumia sms mke wangu tumechelewa sana kutokana na foleni ya magar na rafiki zangu wa nigeria walipita hotel kidogo kwenye mazungumzo yetu binafsi lakini lazima tuje kwaajiri yako mke wangu wewe usilale
kweli sa 8 mlinzi akafungua geti kulikua na walinzi wanne huku nyuma wawili na mbele wawili waliingilia geti la nyuma 💀☠️ na hilo geti huwaga alitumiki mara kwa mara mpaka waje hawo rafiki zake
na nyumba ni kubwaa sana 💀☠️ si rahisi kujua nini kinaendelea ndani ya geti na hata sikuhamini kama mimi naweza kua mama wa nyumba nzuri na kubwa kama ile kumbe ushetani upo 😭😭😭😭
Nachungulia gorofani naona msululu wa magari meusi tu magari ya thamani 😳 nikashangaa na kushuka chini gar la kwanza la mume wangu akapack parking na kushuka 💀☠️ magari yanaingia tu hayaishi magar karibia 50 na yote meusi na kila gari 😳😳 kakaa mtuu mmoja hata kutabasamu awatabasamu wapo tu wengine tukasalimiana hakuna chakuongea na maiki mume wangu akanitambulisha sikuhamini kilichotokea walikunywa sana walicheza sana 😳💀☠️ walimwanga mahela sio elfu 10 10 yani dora tu walimpaa mume wangu pesa nyingi mpaka nikabaki mdomo wazi 😳😳 sikuhiyo waliondoka sa 10 yani awakumaliza masaa matatu na walikula zile nyama za mbuzi wale mimi hata kula nilishindwa hawa watu wana fanya kazi gan mpaka wawe wanamwaga mamilion ya pesa hivi ☹️
😳 na kilichonishangaaza zaidi wapo walivalia nguo nyeupe tu na mume wangu alivalia nguo nyekundu kama yangu 😳
JE NINI KILIENDELEA.....
NILIOLEWA NA MWANAUME UTAJIRI WAKE NI WA KAFARA 😭😭 sikujua ni Ibilis mkubwa
utajiri kaupata kwa kumu😭uwa mama ake na mama ake 😭😭 amegoma kufa
Sehemu ya 05
Mwandishi bahari ya simulizi
mmh bado nilikua nashangaa tu sut magari viatu vikali wanaume smart kabisa ☹️ nikakumbuka mume wangu alishaniambia ni rafiki zake na nimatajiri wakubwa uko nigeria wengine ni wa malawi wengine canada na zambia na wengine ni wa hapa hapa tanzania na kenya na alinionyesha marafiki zake wawili wa ufarasa na congo hapo bado sijajua ilikuaje akapata marafiki wa mbali hivi mpaka marekani lakini yeye alikua anasema amesoma nchii nyingi na sana 😔
baada ya sherehe waliagana na kwa vilungu walivyoshika vile vifimbo vya kibabu vya thamani wakavishika na kuviunua juu kisha wakavigonga na kushusha chini kila mtuu akaningia kwenye gar lake akaondoka mume wangu aliniambia narudi mke wangu marafiki zangu wanawahi ndege za alfrajiri Airport kweli akanikiss kwenye shavu na yeye akatoka kuwasindikiza
nikaingia kulala mmmh usingizi auji kwakweli chumba kina visa muda kidogo mume wangu akarudi ananisifia sifia leo
Ulipendeza sana mke wangu pia ukalimu wako umewafurahisha rafiki zangu 🥰🙏 nikamwambia Asante”
baada ya siku mbili nikatoa nguo kwajairi ya kufuliwa na wadada wa kazi kwenye mashine yakufulia nguo zangu kiasi na za mume wangu 👀👀 muda kidogo dada akaja na kitu mkononi akaniita dada kuna pete kwenye nguo nikasema petee 😳😳 moja kwa moja nilijua pete ya ndoa nikamwambia iweke apo kwenye dressingtable akaingia akaweka apo ile nimeamka nakuta pete ina manembo nembo ya ajabu ajabu harafu pete kubwaa kweli yenye rangi ya blue nikaigusa ☠️💀 hii pete mmmh nikaweka hapo aikusema chochote hapo nilimpigia mama angu nakumueleza machache tu aliniambia mwanangu kumbuka hali uliyonayo ya ujauzito kama yanakutokea mambo kama hayo funga na kusali pia nenda kwenye makanisa omba kemea kabisa roho ya mizimu nyumbani kwake na umtangulize Mwenyezi MUNGU nikasema asante mama 🙏🙏🥰 nitafanya hivo
siku nimenunua bible yangu nikalala nayo ndani nyiee nilihisi kufa ☠️💀 kuna vitu vilikuja mpaka vina mapembe kunikaba 💀☠️ kesho yeke niliamka nikaiweka iyo bible ukoo kabisa kwenye makabati maana 😭😭😭😭😭
Je nini kimetokea!!
Je nini KITAENDELEAAA!! "
SIMULIZI MPYAAA kabisa na imakamilika mpk mwisho kabisa
Simulizizaonline.blogspot.com
Niliolewa na mwanaume utajiri wake ni wa kafara sikujuwa ni ibilisi mkubwa
GREEN HACKER
0
Chapisha Maoni
TOA MAONI YAKO HAPA