Baba Nelson 😭😭

( 1-4 ) 💔🔥😋 BABA NELSON 01

Naitwa Irene ni mtoto wa tatu Kati ya watoto watatu.yani nna ndugu zangu wawili ambao ni Kaka zangu,nikiwa nna umri wa miaka mi4 jinsi ninavosimuliwa ni kwamba mama alifariki na kuniacha nikiwa mdogo Sana angalau Kaka zangu wao walikua wakubwa kidogo kutokana na pale nyumbani kutokua na uwezo wa kutuudumia sisi wote alinichukua mamdogo angu tukaenda kuishi wote mjini kutoka kijijini,Kaka zangu wao waliachwa kijijini sababu walikua wanajielewa.

Mamdogo alinilea vizuri tuu Hadi nilipofikisha umri wa miaka6 ndipo alipopatwa na umauti😢ilikua usiku nakumbuka mamdogo alisema amechoka ajisikii kupika twende barabarani kutafuta chakula muda wa kurudi tukakutana na vibaka wale sjui ni majambaz ata sielewi walimkaba mamdogo wakasema atoe pesa hakua na pesa kwa wakati huo,wakamchoma na bisi bisi ya shingo alianguka chini ukawa ndo mwisho wa maisha yake😢 Mimi nilikimbia, wakaanza kunikimbiza huku wakisema tumuue uyu mtt kuondoa ushahidi kwakua ilikua usiku niliingia kwenye nyumba moja ya wasamalia wema,ndipo ikawa pona yangu,nkawaeleza kila kitu waliwapigia cm police walipofika kuja kumuona mamdogo ametobolewa Hadi macho simu ilipotea wakat anakabwa kwaio mawasiliano yalikua akuna namm sielew chochote kuusu kijijini kwetu Yan sielew ata mkoa gan😭alizikwa na serikali Mimi nikachukuliwa nikapelekwa kituo Cha kulelea watoto yatima nilipokelewa nikaanza shule ya msingi,nikiwa hapo kutuoni,Hadi nilipomaliza elimu yangu ya msingi na secondary,ndipo nilipoona nimekua nkatoka kutuoni pale na kwenda kuanza maisha yangu.nilitafuta kazi za ndani,nkapata nkaenda kujishuhulisha....

BABA NELSON 02.

Nilipomaliza elimu yangu ya secondary sikufanya vizuri,niliona ndio muda sahihi kwa Mimi kutoka pale kutuoni nikaenda kutafuta kazi za ndani ili nijishuhulishe iyo haikunipa shida kupata kazi sababu nilikua nna rafiki zangu ambao nilisoma nao secondary rafiki mmoja ndiye alieniambia kuwa Kuna mama ake mdogo mmoja anaitaji mfanyakaz morogoro sehem moja wanapaita mazimbu.tulikutana sehemu akanipeleka moja kwa moja Hadi kwa boss nilimkuta yule mama anawatoto wadogo wawili wote wakike.

Alinikaribisha akasema utafanya Kaz za ndani hapa kwangu Mimi ni nesi hivyo bas utakua unashinda na watoto mme wangu pia ni mfanya biashara anamaduka huko mjini kwaio kurudi nyumbani ni jioni.

Tukakubaliana swala la mshahara nikaanza kazi rasmi,yule rafiki angu yy alipata maksi za kwenda chuo alienda kusomea ualimu Kilimanjaro.

Yule dada mwenye nyumba alikua ni mtu wakawaida sio mkali ad ufanye kosa niliishi vizuri tu na watoto wake asubuhi nawaandaa nawapeleka shule jioni nawafata,yule baba alikua sio mtu wa kushinda nyumban labda kwa wiki unaweza kumuona mala moja au mbili sababu alikua anawai kuondoka anachelewa kurudi,Mimi ndio nilikua mfuaji wa nguo zote Yan za mama baba na watoto wote wawili hiyo kwangu haikua shida niliona ni kawaida niliona ni majukumu yangu ya Kaz hivyo sipaswi kuchagua kazi, siku moja mama aliingia kazini mchana akasema nifue nguo za baba pamoja na boxer zake,nkasema sawa aina shida,nilizitoa nkafua wakati nnaanika boxer nilishangaa pikipiki ya baba imefika akashuka ilikua ndo mala ya kwanza kumuona mchana,alivoona like zoezi la kuanika boxer alishangaa Sana ad akashika kiuno.akaniuliza Irene inamaana kila siku huwa unafua hizi nguo zangu?nkamwambia ndio baba akasema ok!Kama alibadilika uso Kisha akaingia ndani haikupita muda akatoka,akasema watoto wanarudi saa ngapi?nkamwambia jioni akasema ok kazi njema nilikuja kufata kitu Mala moja tuu naelekea kazini Tena nkasema sawa.

Usiku mama aliporudi aliniuliza et Irene baba ako alikuja mchana hapa?nkamwambia ndio akasema sawa alikukuta unafanyaje?nkamwambia nlikua nnafua nguo zake akasema sawa muda wakulala ulifika nikiwa chumban kwangu nmelala nilisikia mazungumzo yao baba akimfokea mama kua Ile tabia ya Mimi kufua nguo zake Tena za ndani haitaki Ife kabisa🤭

Walipigizana kelele kwa muda mrefu baadae nkaona kimya kimetawala nkajua watakua wamelala😞nkasema kumbe baba apendi nifue nguo zake😕

Asubuhi niliamka mapema nkawaandaa watoto mama nae alikua anaingia kazini asubuhi aliniachia maagizo kuwa nifanye usafi chumbani kwake alisema tandika vizuri utoe vumbi Hadi uvunguni.

Basi nkasema sawa mama akaenda kazini mida ya saa nne nkaingia chumban kwake nikafanya usafi nilitandika vizuri,nkafanya usafi uvunguni ambapo nilizitoa condom ambazo zimetumika,nikiwa nnaendelea na usafi nilishangaa mtu ameingia ndani bila hodi🤔baba uyo nilishtuka akasema unafanyaje uku ndani? nkamwambia nnafanya usafi akasema ok endelea Kisha akatoka zake nje!

Nilimaliza haraka nkampisha aingie ndani kwake,

Nillienda chumbani kwangu nkawa nna waza Sana kwann siku mbili hizi baba amekua ni mtu wa kurudi nyumban mapema zikupata jibu siku moja alirudi saa mbili usiku nilikua nipo na mama jikoni lkn mpishi nilikua mim alitusalimia Kisha akaingia ndan, alitoka Tena akamuuliza mama inamaana chakula changu anapika Irene? Mama alimjibu ndio Kwan Kuna tatizo?

Baba hakusema kitu akaondoka zake,chakula kilipakuliwa akala,.siku zilienda siku moja mama alifiwa na mtt wa dada yake ilimlazimu kusafiri kwenda mkoa mwingine,huku nyuma baba alininunulia sim mpya akasema kwaajili ya kuwasiliana nikiwa nyumban Kama Kuna kitu akuna nimpe taarifa,sikuona Kama kunashida kumbe utata ndo ulianzia hapo

BABA NELSON 03.

Baba aliniletea sim akasema inabidi utumie hii simu Kama njia ya mawasiliano Kama Kuna tatizo lolote utaniambia maana mama yenu hayupo nkasema sawa nkawa natumia Ile simu Basi muda wote ndo kupiga tuu akiwa ayupo meseji kila dakika,usipomjibu tuu ametuma vocha vitu vingine sio vya kuuliza lkn atauliza tuu,utaskia vp kuku wametaga mayai mangapi leo🤣Yan ilimradi tuu achart alikua ananiuzi Sana,tulikaa Kama wiki Maza hause akawa amerudi lkn Cha kwanza kabla ya yote mme wake alimwambia kuwa nmempa cm Irene ulivokua aupo kwaajili ya kuulizia kuusu watt mke wake akasema haina shida mwenyewe nilikua nmepanga kumtafutia sim Kama ww umempa sawa aina shida.

Maisha yakaendelea,tulikaa Kama mwez latiba ndo Ile Ile kwamba mie ndo mfuaji wa nguo za baba had za ndan,mfanya usafi chumbani kwao na mpika chakula,siku moja mama alipata semina ilibidi aende dar kukaa wiki nzima.

Alipoenda huko tulikua tunawasiliana vzr tu kwenye simu,ilipofika jioni baba akawai Sana kurudi,alinikuta nimewaogesha watt Sasa ndo naandaa chakula Cha usiku Kuna kitu kimoja kilinishtua sana🧐alinipiga mgongoni Kisha akasema nakuona Maza house😒duh mie nshakua Maza Haus kwanzia Lin baba?akasema utaelewa tuu kidg kdg huu mchezo auhitaji hasira🤥

Nilipotezea nkaendelea na shuhuli zangu nilipika muda wa kula Sasa alikua kila tonge liingialo mdomoni kwake analitolea sifa,Yan chakula kitam hichi😘 mala we mtt unajua Sana kupika🥰unafaa kabisa kuwa Maza house Yan ataekuoa atafaid sana🤪me nilikua nampotezea tuu.kesho yake alienda kazin ilipofika jioni akasema msipike chochote nakuja kuwafata na watt nkasema sawa,baadae kidogo akawa amefika alituchukua mm na watt akatupeleka sehem akatununulia chips juice akasema kulen,tulikula pale lkn me nilishaweka tahadhari nilikua simuelewi kabisa,.tulipomaliza hapo alitupeleka super market tukachagua tunachokitaka,ikiwemo vyakula,Basi tukarudi nyumbani tulipofika pale watt walikua wanacheza seblen tuu Wala hawaendi kulala me nkasema ngj niwapeleke wakalale,nilimuaga baba usiku mwema akanambia kawabembeleze watt walale haraka mm nnamaongezi naww😦Ile kauli ilinishtua nikiangalia saa ni saa tano usiku hayo ni maongezi gan.nkasema hapa sitoki kimoyo moyo tuu nkasema na mlango nafunga😏

Niliingia ndan nkabembeleza watt walipolala na mm nkalala akaja dirishan kwangu Sasa akaanza kuita Irene Irene fungua😒hapo naangalia saa ni saa saba😶nilijikausha kimya kelele zikazidi😞Yan anagonga ad anatingisha dirisha mala kidogo mvua ikaanza kunyesha lkn yumo tuu anagonga balaa,nkasema huyu anachokitaka ni kunigombanisha na mke wake namm sipo tayar kwa Hilo atanisamehe😞

Nilichukua fon nkaweka masikion nkachomeka kweny cm nkaweka mziki sauti ya juu ili tuu nisimsikie🙂

Asubuhi niliamka nkawaandaa watt wakaenda shule nilijua ameenda kazin nikiwa nakunywa chai mida ya saa tatu nashangaa mtu anatokea chumban😒

Akanambia hujambo nkamwambia sjambo shkamoo baba🙂poa poa🤥akaketi chin nkamuuliza baba vp mbn hujaenda kazin?akasema nmechelewa kulala nmelala saa 11 alfajir mvua yote iliniishia nilipokua nakugongea😶

Nkamuuliza ulikua unataka nn?akasema we mtt Hilo yako ulilofungasha huoni?😳nkasema baba hapana me ntamwambia mama ukiendelea na hii tabia😕akasema Basi nisamehe Kama nimekuuzi,akaniambia ukimaliza shuuli zako nenda chumban kwangu unanifanyie usafi utsndike kitanda,sikuona ajabu sababu ilikua ni kawaida kila siku lazima nifanye ivyo..

Niliingia chumban kwake nkawa nmeinama natandika kitanda aliingia kwa kunyata maana mlango ulikua wazi akaja kunishika kiuno kwa nyuma nikiwa nmeinama😳nilishtuka Sana nikainuka😦nkasema baba kwann unsnishika? Akasema utaelewa tuu.alienda mlangoni akafunga vzr ufunguo akautupia juu ya kabati la nguo.

Akanambia ujue wew ni bint mrembo Sana,una sifa zote za kuitwa mke wangu😳mie hapo natetemeka tuu moyo unaenda kas,akasema nakupenda na nnaitaji uwe wangu Irene ntamuacha mke wangu kwaajili yako😦 nkamwambia hapana baba we nifungulie tuu mlango niondoke huku nalia machoz😭akasema hapa uwez kuondoka kubali tuu yaishe,aliniangusha uko kitandan nae akafata kwa juu akaanza kulazimisha kunivua nguo tukawa tunashindana aliona anashindwa alishuka chin akachukua kisu akaanza kuzichana nguo nilizovaa Yan nilikua napiga kelele Ila ni Kama sisikiki,alizichana nguo zote nkajikuta nmebaki uchi wa mnyama akachukua dudu lake akaniingizia kweny uke wangu😭alimiumiza sana😭

ITAENDELEA

BABA NELSON 04.

Alifanikiwa kunibaka kinyama aliniumiza Sana😭Wala sikutegemea Hilo kutoka kwake😭alipomaliza nilibaki nalia tuu 😭alinifata akanishika mkono Kisha akasema nisamehe Irene hizi ni tamaa tu za kimwili baada ya kumaliza kufanya haya yote najuta sana😞🤔

Naomba unisamehe Kama ungekubali kwa hiari yako toka mwanzo haya yote yasingetokea nisamehe tuu😭niliinuka kitandani kwa kujivuta Kisha nkamwambia Mimi ni maskin na mnyonge ndio maana unenikatili kiasi hichi🤔Ila ningekua na uwezo usingeweza hata kunisogelea,nashukuru kwa yote uliyonifanyia🙏

Nilitoka pale nikajivuta Hadi chumbani kwangu,nilifunga mlango nkaanza kulia nililia Sana Hadi nkawaza labda njia sahihi ni kuutoa uhai wangu,nilijilaumu kwa lile jambo😢nkasema Bora ningeendelea kubaki kitu Cha kulelea watoto Ila sio mbaya Mungu atasimama nami najua kila kitu kina kusudi lake,

Nilikaa pale watoto walilud shule nilikua sijapika kila nikiwaza nguvu znaisha,nkatoka nje ili niwapikie watt nkamuona baba ametoka na zile nguo zangu alizozichana akazimwagia mafuta ya taa akazichoma ili kuondoa ushahidi.

Niliwaza Sana kumwambia mke wake lkn niliogopa kualibu ndoa yao ama Mimi kufukuzwa kweny Ile nyumba maana sikua na sehem yoyote ya kwenda.😒nilikaa,nilivumilia yule baba akawa ananiogopa Sana alikua hawezi kuniangalia usoni,

Zilipita siku kadhaa mama akawa amerudi alifika mapema Sana iyo siku ilikua jumamosi alinikuta nipo tu nyumban Mimi na watoto,tulimpokea vzr alifikia hapo sebleni akawapa zawadi watoto wake,na pia akanipa na mim zawad,akasema hii iliyobaki ya baba yenu zawad yake aliichukua akaingia nayo ndani,lkn aikupita muda akawa ametoka nje akiwa amekunja uso Sana akanifata akaniuliza et Irene nilivoondoka hapa baba yenu alikua anamuingiza Nani ndani?nkasema mama Wala sijui sijawai kumuona baba akimuingiza mwanamke ndani labda Kama alikua akimuingiza kwa Siri Sana.

Niliwaza Sana nkataka nimwambie mama tuu kile alichonifanyia mme wake,lkn kabla sijaongea chochote,alisema Yan nikimjua mtu alieingia chumbani kwangu na kulala na mme wangu ntamuua😳 nkamuuliza mama kwani vipi?

Akasema nimekuta damu kitandani kwangu inaonekana ni bleed ya mwanamke lkn pia haitoshi nimekuta pia chupi🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ hapo ndipo nkakumbuka kuwa Ile siku nilinyanyuka na kuelekea chumban kwangu nikiwa uchi,maana sikuona umuhimu wa kuvaa nguo wakati alizichana😟

Nilitetemeka nkasema Leo ndo leo.akasema ngoja aje ntamuonyesha mshenz huyu.

Baadae kidogo baba akawa amerudi alimuitia chumban akaanza kumuuliza Sasa,alipomwambia swala la damu alijibu kuwa dam zilikua zikimtoka puani ndo maana akaamua kutumia shuka kufutia.mimi muda huo nipo chumbani juu akuna sinbod kwaio yanayoongelewa yote nayasikia.mama akamuuliza enhee vp kuhusu iyo chupi na inaonekana imechanika?akasema iyo si chupi yako mke wangu. Mama alimwambia usinifanyie me mpuuzi kwamba ad nguo zangu nisizijue?

Waligombana Sana baada ya muda nkasikia kimya kimetawala na baada ya dakika kadhaa kupita nkaanza kusikia miguno ya mapenzi nkasema Kwisha kaz🤪

Nililala aumsubuhi nkaendelea na shuhuli zangu ilipita Kama wiki moja tuu toka mama arudi baba akaanza Tena mambo yake muda wote ananicheki kwenye simu.

Anatuma mesej za mapenz Wala simjibu,.siku ingine mama aliingia kazini usiku anatakiwa kurudi asubuhi.tulikula na watoto nkaingia nao ndani kulala nkafunga mlango vizuri ili asije kuingia ndani.nililala Sana baadae nashtushwa na ulimi wa baba ukicheza nasikioni kwangu huku akihema kwa haraka haraka😳😳

Nkasema baba uneingilia wapi na unefata nn?

Akasema tulia nmeingia kwa shida Sana nmeruka juu huko kulipokuwa wazi🙆‍♀️huyu baba jmn nkamwambia toka baba nje akasema siwez kutoka nmekuja tulale wote Leo sitaki kukubaka nataka tufanye kwa kufurahia wote😭nkasema hapana baba siwez kufanya hivyo Leo hutonikamata kwa kweli.

Niliinuka nkataka nianze kutoka nje akacheka Kisha akasema huwez kwenda kokote lkn pia Kama hutokubali kwa hiari yako ntakubaka na kunidharirisha ntakurecord ukiwa uchi jamii nzima itakujua😭nkamuomba msamaa na kumpigia magoti,akasema Kama hautaki kudharirishwa nakuomba upande kitandani,Ile fedheha ilinishinda ikanibidi tu nipande kitandan akasema vua nguo zote kwa usalama wako,nilianza kutoa nguo zote,nikalala chali huku natokea na machozi alifanya tena.alupomaliza alipumzika Kama dakika 10 akaanza upya alinifanya tena😶😭 nililia Sana akanyanyuka pale nkamuona anaruka ukuta kuelekea chumban kwake,lile jambo nililiona ni ukatili wa kijinsia nkasema siwez kulivumikia ni lazima nimwambie mke wake na ntaondoka tuu siwez kuendelea kuishi kwake😦huu ndo mwisho.

Asubuhi na mapema mama alirud kazini, alisema amechoka anaitaji kupumzika,alilala baadae mida ya saa nne aliamka, nkamwambia mama nna maongezi naww,akasema sawa alikuja sebleni akakaa akasema niambie Kuna tatizo?

Nkamwambia ndio mama ila nnatanguliza samahan naomba unisamehe sana😞akasema Kuna shida gan? Nkamwambia mama zile dam ulizokuta kweny shuka yako ni zangu😢lkn pia Ile chupi ni yangu 😳alishtuka akasema unasemaje we mshenz? Nkamuelezea mwanzo mwisho kila kitu ad alichonifanyia usiku wa kuamkia siku iyo,alijisikia uchungu akaanza kulia nkamwambia mama nisamehe akasema ww hauna kosa mwanangu, nkamwambia siwez kuendelea kuishi humu ndan,Ila naomba unifikishie ujumbe kwa baba malipo ni hapa hapa duniani.

Alisema nakuonea huruma Sana mdg angu uyu mme wangu na mim wote sio wazima tumeathirika😳🙆‍♀️😭nikasema unasemaje nama😭😭😭😭akasema subiri.aliingia chumbani akaja na vikopo viwili vya dawa za ukimwi.

ITAENDELEA chombezotu.blogspot.com

( 5-8 )

BABA NELSON 05

Alinuletea kopo za dawa akasema nakuonea huruma Sana mdg angu uyu mwanaume aliokufanyia unyama sio mzima kabisa sijui hata nakusaidiaje😭😭

Nilitetemeka mwili wote uliisha nguvu nkasema Basi dada nashukuru kwakua umenielewa lkn mme wako Sina Cha kumfanya kwa yote alionifanyia😭 nililia nkasema mm nmekwisha😭😢

Akanambia Sasa mdg angu huwez kuendelea kuishi hapa ni heri uondoke tuu kwa usalama wako wewe maana anaweza kuwa anakufanyia ukatili kila siku😢aliumia yule mama alilia, akaniuliza Sasa utaenda wapi?nkamwambia usijal kuhusu mim kokote kambi😭akasema ebu subiri alichukua cm akapiga namba Kisha akaiweka sikioni👂haloo mama halima za uko dada,Sasa vp hauna shida ya binti wa kazi? Aaa sawa hata iyo tuu atafanya ni binti mpambanaji anaweza Kaz zote,Kisha akakata cm akaniambia Sasa mdg angu jiandae nkupeleke sehemu ambayo utaishi kwa Sasa ili ukipata ela ukapange,nkasema sawa aina shida,akasema uyo nnaekupeleka ni rafiki angu anauza mgahawa nkasema sawa,

Tulitoka pale Hadi sehem moja wanapaita kihonda,ndo kwa boss mwenyew.alitukaribisha lkn mama alinipa onyo kuwa nisiseme kuwa baba amenibaka na pia anaukimwi.

Alinipokea uyo mama halima akasema ntakua nakaa pale kwake lkn tutakua tunaenda wote mgahawani na kurudi.sikupinga mama aliondoka akaniacha pale.

Siku ya kwanza sikuenda kazini alienda peke ake,siku ya pili Sasa ikabid tukaanze kazi wote,nilikua nnafanya Kaz lkn nilikua mpole Sana sababu muda wote nawaza Kama ntakua na ukimwi wazo kuu ni kwamba nikithibitisha nnao najiua😢

Nilipiga kazi pale nashukuru mama halima mwenyew alitokea kunielewa atukuwai kugombana,kingine nnachoshukuru hakua na mume tulikua tukiishi wenyew tuu Mimi halima na yy.

Siku zilienda huku lengo langu kubwa miezi mi3 ikifika niende nikapime afya yangu.wanaume kibao walipanga mstari kuja kunitongoza lkn sikuweza kuwakubali hata siku 1.niliofia kuja kuumiza watoto wa watu.

MWANZO WANGU NA BABA NELSON❤️

Siku moja tuliamka mapema tukagawana majukumu Mimi na mama halima alisema me niende sokoni yeye akaanze kupika vyakula vya asubuhi mgahawani.

Nilichukua kapu langu,nkaondoka nikiwa sokoni niliweza kumuona kijana mmoja nae akichagua nyanya kwakua tulikua sehem moja nikamsalimia za saizi.akasema salama Kisha akanipotezea nilinunua nyanya nkaondoka nkaenda buchani wakati nachukua nyama pia nayey alifika buchani akaagiza nyama nusu.

Nikatoka hapo nkaenda sehemu wanapouza mboga za majani lkn pia nae akaja akanunua mchicha...sikumfatilia nikaondoka zangu nkaenda kununua unga na mchele pia alinifata🤥 uvumilivu ulimshinda akaniambia dada kila sehem tupo wote, nilimwambia hio aina shida kila mtu anaagiza vitu vyake,akasema sawa,nilimaliza kuchukua mahitaji yangu nkaondoka nikiwa nnatoka nje ya soko alikua nyuma yangu,Mimi nilikua nna pepesa macho yangu huku na kule kusaka boda boda lkn akaniuliza unaenda wapi Kwan?nkamwambia sehem nnapoenda,akasema ok njoo nkupe lift,nkasema hapana nashukuru nilimkatalia kabisa nilipata boda nkaweka mahitaji yangu Kisha nkapanda tukaondoka,.nilipofika pale mgahawani nikashuka naangalia nyuma namuona yule kijana yupo kweny pikipiki ambayo anaendesha mwenyew😶Kisha akanibinyia jicho😉😉😉😉nkajikuta natabasamu kutokana na kunifatilia Sana Kisha akanifanyia👍👍👍👍👍👍👍.

Akageuza piki piki yake akaondoka🏍️🏍️🏍️🏍️

Niliwaza Sana nkasema kwann ameamua kunifatilia?Wala sikupata jibu lolote.

Nkaingia mgahawani nikaanza shuhuli zangu zilipita Kama siku mbili mida ya mchana wateja huwa wengi mno niliiona sura ya yule kijana wa sokoni akiwa ni mmoja Kati ya wateja waliokuja kupata chakula,🤭aliniita akasema naomba ugali samaki,nikaenda nkamletea,nkajifanya Kama sijawai kumuona alikula alipomaliza akalipa akaondoka,kesho yake Tena alifika mchana akaagiza chakula safari hii aliniuliza jina langu bila kwere Wala kwikwi nikamtajia,naitwa Irene,akasema ooo ni jina zuri Sana, Akaondoka,kesho yake Tena akaja😁kila siku anaomba kitu kimoja safari hii alitaka namba ya simu🤣kwa jinsi alivokua alinichangamkia Wala sikuona tabu kutoa nilimpa namba zangu za sim,kesho yake alikuja Tena akaniuliza ni siku gan huwa free?nkamwambia jumapili akasema naweza kuongea na ww?nkasema hapana nakua bize Sana akasema ok! Zilipita Kama wiki3 hiiv toka nimfahamu alikua ni mchangamfu Sana siku moja hakuja kula mgahawani akasema naomba tuonane ukimaliza kazi zako walau unipe dakika 10 tuu,nilijikuta nakubari bila kupinga kiukweli japo hakunitamkia kuwa ananipenda lkn Mimi nilishaanza kumuelewa kutokana na ukaribu wake kwangu.

Siku iyo nilimuaga mama halima nkamwambia nimechoka Sana nataka nkapumzike akasema nenda tuu wateja wa usiku ntawauzia Mimi,ukienda nyumbani hakikisha halima anafua nguo zake za shule nkasema sawa,nilitoka pale nkaenda nyumbani ni mbali na kazini kwetu.nilioga nkabadilisha nguo tukawasiliana ni wapi tukutane nkaenda,nilimkuta amekaa ananisubili akasema Irene karibu Sana,tuliketi pale akaanza Sasa kufunguka,ujue Irene me nakupenda toka siku ya kwanza nilipokuona naitaji uwe wangu Kama hutojali🤥😳🙆‍♀️🤪

Nkamwambia kwel unanipenda?akasema nakupenda sana😞

Nilimuangalia usoni nikamuonea huruma Kisha nkashangaa machozi tu yakinitoka😢

Akaniuliza unalia nin?

Nkasema nalia sababu najua siwez kuwa nawew,.akasema hata Kama una mwanaume wako na huwez kuwa na mm ni Jambo la kusema tuu nasio kulia ebu nyamaza kwanza,nkajikuta muwazi kabisa kwake😢nkamwambia mm nimeathirika😳🙆‍♀️alishangaa uyo🤔akasema unasema kwel Irene? nkamwambia ndio,akasema toka Lin?nkamwambia nilibakwa na boss ameathirika Ila had Sasa bado sijaenda kupima naogopa.

Akasema toka umebakwa ni muda gani Hadi Sasa?nkamwambia ni miez mi3 minne kasoro.akasema hutakiwi kukata tamaa Mimi na wew naomba twende moja kwa moja Hadi hospital ukapime ili ujue afya yako,alinipa maneno ya faraja had nkapata moyo wa kwenda Basi tuliagana akaondoka na mm nkaondoka nilipofika tuu sikukaa vzr nae mama halima akawa amerudi na chakula tulikula tukalala asubuhi Kama kawaida mm sokoni mama halima mgahawani niliporudi tuu nkaanza kusingizia naumwa kichwa mama halima akasema nenda nyumban ukapumzike,nilitoka pale ad home nilijiandaa nkaenda hospital huko nilikutana na nae yule kijana nilikua nikitetemeka sana😒naogopa majibu kabla sijapima.nikimuuliza hiv unaitwa Nani siku zote hizi hujawai nambia unaitwa Nani.

Akasema me naitwa JEREMIA.nkasema sawa,tuliingia pale tukachukua vipimo kwa pamoja na majibu pia tulichukua kwa pamoja,tuliingia chumba Cha doctor akauliza nianze kumpa Nani majibu?nkasema mpe jeremia kwanza.basi akasema vipimo vinaonyeza ni mzima wa wa afya hauna maambukizi yoyote.ilipofika zamu yangu aliniangalia usoni Kisha akasema upo tayar kwa majibu?nkasema ndio huku natetemeka Hadi meno yanagongana.

ITAENDELEA

BABA NELSON 06.

Alianza kwa kunipa pressure!!! maswali ya kizushi,eti mfano ukikutwa umeathirika mtu wa kwanza kumwambia atakua Nani?😢miguu iliisha nguvu nkajikuta natoka kweny kiti nakaa chini akasema amka ukae juu😢nkasema doctor hapana nnapopokea majibu yangu naomba jere atoke nje😢Basi Jeremiah akutaka kupinga alitoka nje,mm nkabaki na doctor nilimwambia doctor naomba uniambie tuu moja kwa moja Kama nimeathirika nijue tuu Wala usinizunguke😢

Akasema inabid tuzungumze kabla ya majibu😳nkasema hapana we nambie tuu siitaji mazungumzo.

Ok!majibu yanaonyesha kuwa hauna maambukizi yoyote ni mzima kabisa,jikinge ili uendelee kubaki salama😳jmn kwanza Yale majibu yalinifanya nianze kuwashwa mwili mzima nkaanza kujikuna Kama nmemwagiwa upupu😞nkasema doctor we unadanganya BWANA akasema ni kweli Ila Kama hauamini basi upime Tena,.nkasema naomba umpe jere majibu yangu,jere aliitwa akaja chumba Cha doctor aliniangalia usoni Kisha akasema uso wako unatafsiri kuwa majibu ni mazuri.doctor akamwambia ndio ni mzima wa afya,Basi tulitoka pale tukiwa na furaha amani yangu ilirejea,nkatoka pale tukaenda Tena hospital nyingine tulipima majibu yakawa ni hayo hayo. Doctor alituuliza kwann mnapima sehemu mbili tofaut kwa siku moja?

Nkamwambia sababu nlitembea na muathirika mala mbili bila kinga na bila maandalizi kwaio nilichubuka Sana mala zote mbili😳doctor alishangaa akasema iyo inawezekanaje? Ok!Ila ipo hivi Kama uyo muathirika anatumia dozi zake vizuri kabisa hawez kuambukiza mtu, nkamuuliza kvp?

Akasema muathirika akiwa anatumia ARV kila siku inamaanisha wale wadudu virusi vya ukimwi vinakua havina nguvu kwaio vinapoenda kwa mtu mwingine hufa haraka na kushindwa kufanya kazi.

Nilifurahi Sana kupata maneno ya faraja.tukaondoka nilirudi nyumban nkatulia nilimshukuru Sana Mungu,nilimpigia cm mama yule nesi mme wake alienibaka nikamwambia kuwa nmeenda hospital nmepima nmekutwa mzima alifurahi akasema jikinge mwanangu hongera maana nilikua nakuwazia Sana.

Maisha yangu yaliendelea, Jeremia aliniomba nimkubalie Wala sikuona Kama Kuna sababu ya kumkataa sababu nilikua nnampenda.

siku1 alinifata akaniuliza hivi Irene wazazi wako wako wapi?maana nataka nkutolee posa mahali ili nikuoe😢

Nilikaa kimya kwa dakika kadhaa Kisha nkamjibu..

Mimi nmelelewa kwenye kituo Cha kulelea watoto yatima toka mdogo.

Sijui chochote kuhusu ndugu zangu.

Akasema pole Sana Irene!kwaio unapendekekeza twende wapi kukutolea posa na mahali?nkasema labda kituo kilichonikuza ama unaweza kumpa mama halima vyovyote utavyoona wew ni sawa.

Akasema sawa subiri niongee na ndugu zangu alafu ntakupa jibu.

Zilipita siku kadhaa,alinitafuta kwenye simu Kisha akasema nyumbani kwetu wamefurahi Sana kusikia nataka kuoa kwaio tusubir ntapopata rikizo kazini tuende,maana yy alikua anafanya kazi *IDARA YA MAJI* Kiukweli alikua mwanaume ambaye ni mstaarabu na muelewa,alikuja kujitambulisha kwa mama halima.

Baada ya kujitambulisha ndipo alipomfata na kumwambia kuwa nataka nimuoe Irene nimtolee posa na mahali nmeona kwamba itakua vyema kwa ww kuungana na walezi wa Irene kituo Cha kulelea watoto yatima.ili mpokee mahali yake kwa pamoja.

Basi nikawa naibia mapenz Yan siku Kama ajaenda kazini naenda kushinda nae kwake tunaunganisha vikojoleo vyetu.💕Kisha narudi kwa mama halima.

Ilikua ivyo mapenz yalinoga tulikua tukipendana sana🥰

Ila Kuna Mambo yakaanza kubadilika😒Yan nkawa nikienda kazin kwa mama halima nnalala mwanzo mwisho sifanyi Kaz yyt...chakula nachagua...mama halima akasema mdg angu sikuelewi utakua mjamzito wew.....nkamwambia hapana dada napitilizaga siku zangu hii sio mala ya kwanza...akasema ok!nunua kipimo upime. Kama masihala nilichukua kipimo pale pale mgahawani nkapima mimba kipimo nkampa mama halima,,,,baada ya dk kadhaa ananiambia mdg wangu ebu kaa chin nkakaa akasema angalia hichi kipimo....🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ kuangalia jmn mistari miwili.😢😢😢😢nkaanza Sasa kulia😢😢😢akaniuliza unalia nin Sasa?

Nkamwambia nalia sababu nmepata mimba bila kutegemea😢 akasema kila kitu huwa na sababu zake kwaio usikufuru unachotakiwa kuangalia saiv ni kwamba unakileaje icho kiumbe tumboni.

Nkasema ngj nmpgie cm jere nimwambie😟

Akasema hili swala sio la kukurupuka hutakiwi kumwambia kweny simu we mfate huko huko kwake😶nkasema sawa.ufunguo wa nyumbani kwake nlikua nnao nilitoka mapema nkaenda kwake huko nilishindwa hata kupika usingizi mzito mwenyew amerudi amenikuta nmelala tuu🤨akaniamsha we Irene vp? Nkasema saf tuu akaniuliza unajua ni saa ngapi saiv? Nkamwambia hapana akasema saa nne usiku umekuja sa ngapi mbn ujanambia?na mama halima huwa hapend ulale nje na kwake itakuaje? Nkamwambia ameniruhusu mwenyew😳kivp nkamwambia tulia Kuna isue imenileta hapa akasema subir nkaoge kwanza😶alienda kuoga akaja kulikua na mboga samaki tukapika ugali nikala,.akasema twende tukalale.

Tulienda kitandani tukalala tulicheza michezo ya kitandani😋tukafanya yetu.tulipomaliza tuu simu iliita mama halima😳nkapokea akaniuliza unarud sa ngap?nkamwambia sijui maana bado atujazungumza chochote.akasema lala uko uko kesho uje na jibu lakueleweka nkasema sawa dada.

Nilikaa kitako nkamwambia bwana wee jere mwenzio nmeinasa😳umeinasa Nini? nkamwambia nnamimba yako🙆‍♀️mimba yangu😳we Irene acha masihara😟nkamwambia kweli.

Imekuaje lakini Irene had imekua Ivo we mtt mbn unataka kuniletea matatizo Mimi.

ITAENDELEA

BABA NELSON 07.

Nkamuuliza matatizo gan?Kwan ulipokua unafanya ulikua hujui?

Akasema sio Ivo lkn unajua nilitaka kupeleka nyumban sikupanga uende ukiwa mjamzito,nilitaka ndoa ipite kabisa ndo uzae nkasema iyo sio shida tunaweza pia kwenda hata mimba ikiwa bado haijakua akasema likizo ntapata miez minne ijayo tumbo litakua limeshakua kubwa.

Nkasema Basi Sasa hapo me Sina Cha kufanya.akasema Sasa we Rudi tuu kwa mama halima Mimi nikipata nafasi nije niongee nae kwanza.nkasema sawa haina shida asubuhi niliamka nkaondoka nkaenda kumwambia mama halima amesema nirudi atakuja kuongea na ww baadae.

Ilifika jioni tukiwa tumekaa na mama halima,nilitupa jicho mlangoni nkamuona jere anaingia.

Tulimkaribisha akasema mie sio mkaaji sana.ila nimeijia Jambo moja Shem nilikua naomba nikaishi na irene kutokana na Hali yake kwa Sasa ili wewe usisumbuke Sana Ila naomba tushirikiane,alikubali bila kipingamizi chochote,akasema sawa aende tuu Ila ntamkumbuka sana.

Kesho yake tulienda kutuoni huko wanapolea watoto yatima.

Niliwakuta walezi wangu walionipokea toka mdogo Hadi nakua niliwaeleza Jambo langu wakasema haina shida yeye aje tuu.

Nilimpigia cm jere nkamwambia,tuliondoka baada ya kupita siku mbili nilipigiwa simu kuwa posa imefika niende tukapange mahali.nilienda tulipanga mahali nae akuchelewa akaleta ela waligawana wale walezi wangu na mama halima pia niliwaomba wampe ela kidogo yule mama mmewe alienibaka.walimpatia

Siku zilienda jere akasema ukijifungua ndo tutafunga ndoa.

Alizidi kunipenda mala dufu niliilea mimba yangu vzr alinitafutia mfanyakaz wa ndani,siku moja nikiwa nimelala nilijiisi mkojo kubana nilipoamka kwenda toilet niligundua kweny nguo ya ndani Kuna tone za damu nilirudi ndani,nkamwambia jere akasema hizo ni dalili za uchungu andaa vitu vyako twende hospital niliandaa kila kitu nkaweka sawa,mida ya mchana uchungu ukanishika tukaenda hospital niliumwa siku mbili ya tatu ndo nkajifungua mtoto wangu wa kwanza wa kiume *NELSON* mme wangu alifurahi tulirudi nyumban akaniambia Kaka yake pamoja na mke wake watakuja kuniona wanatokea mkoa wa pwani ndipo anapofanyia kazi yeye ni mwalimu wa shule ya secondary nilikaa Kama siku tano nilikua na mama halima akinikanda maji ya uzazi.

Baba Nelson akaniambia kuwa Kaka ake na shemeji yake wapo njiani wanakuja,maana ilikua ni mwez wa 12 shule zilikua zimefungwa,walikuja nilifurahi kuwaona baba Nelson na Kaka yake walifanana Sana Yan Kama mapacha...niliwaambia jmn Shem mmefanana Sana nyie,wakacheka kwa pamoja Kisha mme wangu akasema ni kazi tu ndo zimetutenganisha Ila mm na ndugu yangu hatujawai tengana ata mala moja tumesoma shule za boarding toka primary tulipoenda secondary tulifaulu shule tofauti lakin Tena tukapelekwa shule moja ya boarding chuo pia tumesoma kila mtu kozi yake lakin wote tumesomea dar ambapo tulipangiwa nyumba tukawa tunaishi pamoja kwaio sisi ni Kama mapacha tuu.

Basi siku zilienda mwanangu alifikisha wiki mbili na mke wa shemeji ambae naweza kumuita mke mwenzangu alikuepo akinisaidia Kaz mbali mbali. Siku moja mchana nikiwa chumban nanyonyesha mtoto mesege iliingia kabla sijaisoma niliona jina limeandikwa.

*Shem Richard* ambaye ndo alikuja kwangu kuniona akasema mambo mke.,hiyo ni kawaida kwake kuniita mke hata mme wangu akiwepo na mme wangu pia humuita Ivo mke wa Kaka yake.

Nkamwambia POA niambie Shem.

Akasema shwari unafanyaje ndan?

Nkasema nanyonyesha mwanao.

Akasema ok love nataka nikwambie kitu lakin naomba ibaki kuwa Siri yetu mm na ww mtu yyt asijue🤥

Nkamwambia niambie tuu.

ITAENDELEA

BABA NELSON 08.

Niambie tuu Wala sitomwambia mtu yoyote Shem. Ok!!!iko hivi Shem ujue wew unauzuri flani hivi ambao sio wa kawaida😳🤥kivipi??? Aaaa ndo nakwambia Sasa unazigo la kuvunja chaga ujue😳 Mh!!!mbn sikuelewi Shem??aaaa utanielewa tuu namaanisha hivi wew ni mrembo licha ya kujifungua lakin urembo wako haujajificha unaonekana wazi wazi🤨🤨

Kwaio hapo unataka kusemaje Shem mbn sikuelewi? Aaaa sawa lakini ndugu yangu anafaidi sana😳nkaona uyu mshenzi nnamueshim Sana na mke wake pia namueshim nisije kumvunjia heshima,nilimpotezea na simu nkazima.

Nilikaa ndani baadae mke wa Shem Richard akaja akasema twende seblen ukale nilimlaza mtt nkatoka seblen nilikuta chakula kishawekwa dining,tulikaa familia nzima Mimi,mme wangu Shem mke mwenzangu na dada wa Kaz,wakat tunakula nilishangaa Kama miguu yangu inabonyezwa kwa chin nikaangali naona ni Shem ndo amenibonyeza nikimuangalia usoni ananibonyezea macho yake 😉😉huku anatabasam😁

Dah niliona Kama nmepata mtihan mkubwa Sana niliinuka nkaenda kunawa mme wangu akaniuliza vp mbn umeacha chakula?nkamwambia nmeshiba nkaenda moja kwa moja chumban.huko nilikua nikiwaza nawezaje kumwambia mme wangu kuwa ndugu yake ananitaka kimapenzi.niliwasha sim nkafuta mesej zote nkasema kwa hili nmemsamehe ila Kama itajirudia sina budi kueleza ukweli kwa mme wangu kabla tatizo halijawa kubwa.nkajiuliza hiv kwa mfano huyu Shem angekua na dada yake alafu asikie anatongozwa na shemeji yake yy angejisikiaje?au wananionea tuu sababu mm Sina ndugu?au asikie mke wake anatongozwa na mme wangu uo undugu si utavunjika?nilisema hapana nanyamaza ili kuokoa undugu wao lakini ingekua sio ivyo leo ingekua ndo mwisho wa mawasiliano yao,niliwaza kwa muda Hadi mme wangu alipoingia chumbani kanikuta kweny dimbwi la mawazo.akasema unawaza Nini mama neli?nkamwambia Amna siwaz kitu nmechoka tuu bas tulilala kesho yake jioni tulikua tumekaa seblen familia nzima.wenyew wakawa wanapiga story zao mtu na Kaka yake,mme wangu akasema dah!mdogo etu asingefariki saivi nasisi tungekua tunadada,nkamwambia we baba NELSON siunasemaga kwenu mpo wawili tuu,wew na Kaka ako?Shem akadakia yule atumuesabiagi sababu alifarikia akiwa mdogo sana,mdogo wetu alikua anaitwa Anna.nilijikuta nalopoka nkasema hiv kwa mfano mdogo wenu angekua hai alafu msikie anateseka kweny mausiano au anatakiwa anafanyiwa unyama wowote ule mngekubali?Yan lile lilikua dongo la Shem.

Mme wangu akasema binafisi nisingekubali Yan sio mdg wangu tuu hata ww mke wangu yyt ataeingilia Kati mahusiano yetu ntampoteza duniani bila kujali ni Nani hata Kama ni ndugu yetu😳🤥nkasema yes👍 mesege sent. Niliona Shem ananywea akuongea kitu alinyamaza kimya me moyo kwatu🤣baadae naangalia sim yangu nakuta mesej kutoka kwa Shem.nisamehe Sana sh ni shetan tu alinipitia roho inaniuma naona aibu.

Nkamwambia iwe mwanzo mwisho ukirudia Tena ili swala itabidi nmwambie tuu mme wangu😟

Basi likizo yao iliisha wakaondoka na mke wake,sisi tulibaki pale Moro mwanangu akiwa na umri wa miezi mi3 tuu mme wangu akataka tendo la ndoa😟nilikua sijajidhibiti kwa chochote niliisi dalili zisizo nzuri siku za mbeleni ndipo nilipopima najikuta ni mjamzito tena😭🙆‍♀️

9-11 MWISHO

BABA NELSON 09.

Baada ya kupimwa na kuambiwa ni mjamzito,muda huo mwanangu anamiezi minne kasoro tuu nilimsubiri baba neli aliporudi kutoka kazini nkamwambia kua nmepima nmeonekana ni mjamzito😟alichanganyikiwa akasema jamani itakuaje sas🙆‍♀️ nikamwambia Yan me mwenyewe hata sielewi kiukweli😭akasema ok haina shida Sasa hapa Cha kufanya muachishe mtoto ziwa haraka Sana utamuaribu tuanze kumpa maziwa ya kopo,alafu wew ulee mimba tuu iyo huwezi kujua atakua Nani uyo uliembeba tumboni usitoe mimba yangu.

Ila zoezi la ndoa mwaka huu limefutika tena🙆‍♀️nkasema sawa aina shida acha nilee tuu Sina jinsi,tuliendelea kulea Ile mimba huku niona aibu Sana Yani mwanangu anamiez nane Mimi nna mimba ya miezi minne mitano kasoro😟

Nilikua ni mtu wa kujifungia tuu ndani sitaki hata kujichanganya na watu.

Siku zilienda mimba ikiwa na miezi Saba baba mkwe alikua akiumwa simu ilipigwa anaumwa hoi Sana,kwaio aliomba apelekewe mjukuu wake akamuone pamoja na Mimi niende,sikua na jinsi ilibidi tuende.mme wangu aliomba ruhusa tukasafiri hadi kijijini kwa mme wangu.tulipofika kijijini tulipokelewa vizuri tulimkuta baba anaumwa Sana tulimpelekea akaweza kumuona nelson akasema nashukuru kwa kua hata nikifa nitakua nimeweza kumuona mjukuu wangu wa kwanza😟

Aliniona na Mimi pia nikiwa nna ujauzito akasema natamani umauti usinifike had nimuone mjukuu wangu mwingine😭baba aliniangalia mim Kisha akasema karibu kweny familia yetu ila navokuangalia unafanana Sana na Ana mtoto wangu alishakuaga marehem😳uyu mzee ananifananisha vp na katoto kalichokufa miaka mingi iliopita nkampotezea,Basi tulitoka pale mme wangu akanipeleka kwa shangazi yake nae anakaa mitaa iyo iyo.tulipofika pale alitupokea akawa anatutania Yan mliona mkisubiri mtt akue mtachelewa Sana eee bas tukawa tunacheka uku tunaona aibu lakin jambo la kushangaza ni kwamba hata shangazi nae akasema et mm nafanana na marehem Ana Yan sikutaka kuliweka kichwani maana niliona kichwa kinaanza kuzunguka,tulitoka pale tukaenda kwa mama mkwe Yan mamdogo wake na mme wangu tulipofika tuu tulimsalimia nae akasema vile vile kwanza aliniuliza unaitwa Nani?nkasema Irene akasema Yan unafanana Sana na marehem dada yangu ambaye ni mama yake na Jeremiah😳pia unafanana na marehem Ana mdogo wake Jeremia mh nkaona wananizingua nkasema ebu naomba picha nione Kama mnazo,.aliingia ndani mamdogo akaleta albam ya picha akanionesha picha ya marehem Anna akiwa na Jeremiah na Shem Richard yule aliekujaga kuniona akanitongoza mh😞kweli duniani wawili wawili mbn kwel tunafanana na Ana?Basi akaendelea kufunua picha nkaona ingine yupo mama mkwe peke ake😳iyo picha ndo ilinifanya niishiwe nguvu kabisa,😭nkauliza et naomba mnieleze kuusu kifo Cha Ana.

Mamdogo akasema mama yao ana,Jeremia,na Richard alifariki wakiwa bado wadogo Sana baada ya hapo mdogo angu niliemuachia alikua anakaa morogoro lkn atukuwai kwenda Wala atupajui ndo alikuja akamchukua Ana akaondoka nae,hali ya nyumban kiuchumi ilikua mbaya Sana hivyo hata Jeremia na Kaka yake rich walipata mfadhili mtu mweny uwezo alikuja kuwekeza hapa kijijini akawasomesha kwanzia shule ya msingi Hadi chuo kikuu Hadi kupata kazi,lkn baada ya Ana kuondoka tulikaa Kama miaka mitatu tukaenda kufatilia morogoro kujua ni wapi walipo Ana na mamdogo wake maana atukua na mawasiliano ndo tukaambiwa kuwa walikufa kifo kibaya Cha kupigwa na majambazi.

Ebu ngojeni kwanza nilie kwa sauti maana kiatu changu akiwez kumtosha mtu😭

BABA NELSON 10.

Jaman ebu ngojeni kwanza ni Nani aliewapa taarifa kuwa Anna nae alikufa🙆‍♀️mamdogo akasema Yan ni watu tuu ambao walikua ni majiran zao nao hawakushuudia kifo Chao waliadisiwa tuu kwamba mamdogo ake Anna amekufa Ila majambaz waliomuua Anna waliondoka na maiti haikuweza kuonekana,nkasema hv mnayo picha ya mamdg mnionyeshe?akasema ndio akafunua kweny albam nkakutana na picha ya mamdogo Ile sura ni Kama ilikua iliniijia kabisa kichwani😢 nkasema mbona hii picha Kama ya mamdogo japo nakumbuka kwa mbali sana.nkasema hapana Kama nimelala bas niamke😢😭hii ndoto sio nzuri kwangu hata kidogo.mme wangu akaniuliza kwann unasema Ivo?nkasema jmn Mimi ndo Anna nashindwa kuelewa ilo jina la Irene limekujaje😢😭jmn me mbn nachanganyikiwa hivi😭

Nilianza kulia pale Kama Kuna msiba mme wangu alipoinga akasema sio kwel bwana na ww matukio ya watu hufanana aiwezekan mm kuwa ndugu yako😟😟

Nkasema me ntathibitishaje hili?mamdogo akasema twende kwa baba yenu yy ndo atajua bas tuliondoka pale Hadi kwa baba tulimkuta shangazi nje mamdogo akamsalimia Kisha akamuuliza et wifi muangalie uyu binti anafanana na Nani?bas shangazi akasema huyo nmemwambia toka mwanzo kuwa anafanana na marehem mama Jeremia🤔🤔mamdogo akasema si nmekwambia mim???Basi akauliza Kwan vp?mamdogo akasema nna wasi wasi uyu anaweza kuwa ndo Anna😭

Wakawa wanashauriana wenyew kwa wenyew Sasa tutashibitisha vp?

Shangazi akasema tumuwai baba Jeremia kumwambia kabla ajakata roho maana Hali yake mbaya jmn hii lahana gan imeingia kweny ukoo wetu?

Kabla ya uthibitisho wowote baba Nelson alianguka chini na kuzimia😞😞

Walimchukua wakapepelea haamki ikabid wamuwaishe zahanati akaenda kupumzishwa.huku nyuma Sasa tukaenda chumba alicholala baba alikua anauwezo wa kuongea lkn taratibu Sana isipokua kuamka alikua hawez.

Tulifika pale shangazi akamwambia baba hivi,. *Kaka ujue Anna yupo hai ajafa?* Baba akaguna akasema kivipi Kwan mwanangu amechukuliwa mzukule?

Shangazi akasema

*hapana isipokua uyu mwanamke wa jere ndo anna*

Baba aliniambia binti sogea hapa nkasogea akasema nyanyua kwapa lako la kushoto juu nikafanya ivyo, akasema shusha mkono baba aliomba kitambaa akapewa alifuta machozi Kisha akasema ana ni wew binti yangu😭😭jmn umeenda kuzaa na Kaka ako Ana😭😭😭

Hapo nilizidi kutetema ant akauliza Kaka umeona Nini kwapani?akasema Kuna Alana ipo kwapani Kama kinyama kidogo cheusi tulitaka tukikate toka amezaliwa tuu lkn atukuweza,ni mkono wa kushoto na nmemuangalia saiv nmekiona😭😭😭

Dah!!!!niumia Sana ikawa sio furaha ni msiba Tena kila mtu aNalia.yan sijataka kuamini kabisa ule mshtuko tumbo la uchungu likaanza kuniuma😞😟

Baba aliniambia mwangnu pole kwa yote Ila mim naona huu ndo mwisho wangu labda tu ilipangwa niwe hai ili nije nkuone,nakupenda Sana Anna na nakuomba uachane tuu na uyo jere kwanzia Sasa ni ndugu na sio majiran nyie😟sikuweza kujibu kitu Zaid ya kulia😭😭😭😭

Uchungu ulikazana nilipopelekwa hospital nkaonekana mimba bado miez Saba uchungu ulikazana Yan ni sababu ya mshtuko na mawazo.

Nilijitaid pale ad nkajifungua mtt wa kike lkn ndo njiti anafanana na jere nililazwa hospital mawazo yalikua hayaishi bas mwanangu akiwa na siku3 tuu toka nmejufua nilienda kukanyonyesha nkakuta kamelala namuita nesi namwambia mwanangu haamki akamshika akasema pole Sana mwano amefariki😭😭😭maumiv yalisambaa mwilini mwangu,nilichukuliwa na ndugu nkarud nyumban na maiti ya mtoto,tulimkuta na jere amesharud hospital shangazi anaingia nae chumba Cha baba anatoka analia yoweee jmn Kaka angu amefariki inamaana baba ane kafa😭 ITAENDELEA

BABA NELSON 11.

Shangaz ametoka analia anasema kaka angu amefariki😭😭😭Yan hapo nmetoka hospital hata maumivu ya uzazi bado hayajaniisha maumivu ya kuondokewa na mtoto bado hayajaisha maumivu ya kutembea na Kaka yangu Hadi kuzaa nae pia hayajaisha alafu nakutana na habari za kifo Cha baba ambaye nimemfahamu siku chache zilizopita😭yani niliisi Kama mtu amechukua mkuki akaanza kuponda ponda ndani ya moyo wangu,niliwaza mengi sana Hadi kukufuru mbona mateso yapo kwangu tu Wala sizan Kama kuna mwingine amewai piti niliyopiti mimi😭simu ilipigwa kwa Richard wakasema ratiba ya mazishi itafanyika hadi ndugu watapokamilika siku iyo iyo tulizika kichanga changu,kesho yake Richard alifika kijijini aliponiona tu alinifata uku analia akasema Shem pole sana kwa kuondokewa na mtoto!nkamwbia Asante lkn hakuambiwa kitu chochote ndo Mana aliniita Shem tulisubiri tuzike Kwanza ndo tumwambie ukweli.

Basi baba akazikwa hapo kijijini kwenye makaburi ya familia...tulikaa Kama siku mbili ndipo tulipoitisha kikao Cha familia,ndugu wote walikuwepo pamoja na wazee wakijiji. Wakaanza kwa kutupa pole familia nzima,pia pole kwa kuondokewa na ntoto pamoja na mzazi lakini pia tukapewa pole Mimi na Jeremiah kwa yote yaliyotukuta,tukaambiwa kabisa nyie ni ndugu kwanzia Leo inabidi mueshimiane Ayo maswala ya mke na mume muyaache kabisa.

Yan nikijifikilia upendo wangu kwa jere naishiwa nguvu😭nikifikilia hivi kweli ni Mimi nilikua mke wa Kaka yangu nalala nae kitanda kimoja uchi wangu wote anaujua😭😭😭Yan sitamani ata kuendelea kuishi.

Richard alisimama Kisha akasema hivi haya yanayoendelea hapa mbona siyaelewi?mala dada mala Kaka kwani mama nely ni mtoto wa Nani?

Shangazi akasema ungenyamaza tuuu maana ndo tulikua tunaelekea kukueleza Kila kitu.

Yan uyo mnuita mama nely au mke wa jere ndo Dada yenu anna🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

Nilishangaa tuu rich amesogeza kiti pembeni akanyoosha miguu na kukaa chini Kisha akaanza kutoa yowe za kilio😭😢😭

Mamdogo mmoja akasema nyamaza Sasa unalia nin?akasema jmn ebu nielezeni vzr Ana aliekufa ni yupi na Ana nnaemuona hapa ni yupi.

Basi ikabidi waanze kumueleza Hali halisi kwanzia mwanzo Hadi tulipofikia😭😢

Dah kiukweli nilikua najikaza tuu lkn ujasiri hakuna kwakweli😢😢

Rich alinisogelea nilipo akanikumbatia kwa nguvu akasema pole sana dada angu😭naomba unisamehe kwa yote niliokufanyia siku za nyuma😭😢😢😭😢😭

Baba nely ndo aliniumiza zaidi pale alioosema,sasa nely wangu utaniitaje mimi😢utaniita mjomba au baba .

Huku anafuta machozi.

Tulimaliza kikao ambapo niliamliwa Mimi kuendelea kukaa kijijini soruhusiwi Tena kwenda kukaa na baba nely na maisha yangu yote ntaishi bush tuu Wala sikuona Kama ni tatizo.coz nlishakata tamaa.

Kikao kiliisha tukasambalatika.mimi nilitoka pale nkaenda sehem Kuna mti mkubwa nkaenda kukaa peke angu huko ili niwaze vzr.

Niliwaza mengi aibu iliniijia Sana nkasema ntamwambia Nini nely akikua?hivi kwel jamii nzima itajua kuwa Mimi nmelala na Kaka hapana inabidi nifanye mipango yangu nijiuwe tuu😢😭

Nilitoka pale nkaenda nyumban nilitafuta kamba ngumu,nilipiipata nkatoka nayo pale Hadi kweny ule mti niliifunga kamba nkapanda juu ya mti ili nijitundike wakati nataka kufanya hivo nilimfikilia Kwanza nely atawezaje kuishi bila mim?mwanangu atateseka sana maana hata mim nmekua maisha yatabu sababu tuu nmekosa mapenzi ya mama.

Nilishuka juu ya mti nkakaa chin huku nalia yan nilikua Kama kichaa vile sieleweki.

Nilirudi nyumban nikiwa nmepoa Sana,nlimkuta Jeremiah akaniambia nmekutafuta sana mama nely naomba tuongee Kwanza.

Basi tukakaa pemben akaniambia hivi ni kwel me na ww tunaachana????nkamwambia ndio Kwan unasemaje!?akasema Sina Cha kusema japo naona Kama ndoto vile.basi Sina jinsi tueshimiane tuu kwanzia Sasa Kama Kaka na dada...nkasema sawa icho ndo kitu muhimu.

Siku zilienda jere na rich waliondoka wakaniacha Mimi bush baada ya miezi mitano kupita,ndipo jere na rich walipojipanga wakachanga ela wakaniambia nitafute Cha kufanya,nilitafuta sehem yenye biashara niliamia dar nkafungua duka la nguo na vipodozi

Baada ya kupita miaka miwili,ndipo baba Nelson alipoamua kuoa mwaka Jana ndo ameoa Tena kwa ndoa.mke wake ni mjamzito saivi,nikasema kumbe Kuna kitu kilitaka kuepushwa Kati yetu maana kila tukitaka kuoana lazima Jambo litokee kuzuia Leo hii tungefunga ndoa ingekuaje?

Namimi nmeolewa mwezi wa Kwanza mwaka huu mme wangu anafanya kazi *TAKUKURU*

NELSON anamiaka mitano saivi na nnaishi nae mimi.maumivu yetu yameshapungua tunaishi vizuri Mimi na ndugu zangu baba Nelson pamoja na rich tunatembeleana mikoani tulipo pale tunapopata nafasi.nawapenda Sana ndugu zangu Kaka zangu.

Asanteni wote kwa kunifatilia mwanzo had mwisho wa mkasa huu nawapenda Sana. Chombezotu.blogspot.com

MWISHO

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA

Mpya zaidi Nzee zaidi

Ads related

Smartwatchs