1-----3
MWANAUME MTANDAON1
nataka leo niwape ka truestory jamani
Mimi nilikua group flani ivi la watsap la story mana napendaga sana kuzisoma🥰
basi bana kuna mkaka naye alikia umo umo, basi akaanzaga kunitext mala mambo mala salam kila day😏
huwa nampotezeaga🖐️akaanza kunitongozaa bana na swaga kibao nakupenda naa (nijiite naa ntamwita jey kistory sio majina halisi)
basi bana nkawa namwambiaga we utampendaje mwanamke umu mtandaon jamani kama si uongo noni au we freemason unataka unitoe kafara mana ndio story zinasambaaga kua mtandaon watu wauaji🤭!!
basi bana uyu kaka nkawa nachatigi nae tu mana kaniomba sana nisave namba yake ili tujuane zaidi ata tuonane🙄mi apo naogopa balaa ni miaka mi3 nyuma
nkawa nampotezea
tukawa tunachat siku io nkawa sina ela nkamwambia basi sawa tuonane ila sina naul 😔 akantumia japo wote tupo dar apa apa, nkatumiwa ki20 kangu bana wee nkakila nkamkaishia
akawa akituma msg simjib ikapita mwezi
bado akati tamaa apo mimi nna kimpenzi changu iko nakapenda atari kananipeleka puta(tukiite kiposongo mana chembamba icho)
haya tukaendelea kuchati mala simjib mala namjib ikapita miaka mi3 atujaonana na bado anaitamkia kunipenda ❤️unakuta tunakaushiana ata mwezi mala nakuta msg zake🙌
Sasa ndani ya mwaka jana mwezi wa12 mwishoni si kile kiposongo kikanizingua na kinanizinguaga kila leo na ela akina alafu kimalaya kila day nakafumania msg 😭 kwaio nna stress zangu apo
si ndio jey akanitafta bana mambo baby !!! Mhhh ananiitaga baby jamani basi nkamjibu poa
Ila mm simaanishagi nshamwambiaga mm swezi kua na mtu simjui namuona kwa picha tu na video
Mhh kwakua kiburushuti nmezinguana nae naboeka sina wa kuchati nae nkaanza kumpa ushirikiano kwenye kuchati na kuongea voice call🙆 basi linafurahi atali mana kabla alikua apati nafasi io mda mwingine nlikua namwambia usipige mimi nna mpenzi wang🙄 basi bana
mda ote maongezi aspopiga nampigia si mnajua apo nna stress 🏃ntaludi
MWANAUME MTANDAONi 02 true story
Ayaa bana tulipoishia
asipopiga nampigia si mnajua nna stress tenaa😔kiburushiti tumevulugana mbwa yule, mwamba anafurahii bana namimi nkajikuta nazoeaa sasa kuongea nae 📞🤙nkaanza kumdanganya naumwa kwanza nimchaleng zipoo !! Siku io nmeamka kamwambia mimi naumwa jino best 🙆akajibu vipi ushaenda ospitali mie tenaaa apana swezi kwenda apa nanawia tu mualovela nauskutua 😂😂( asa sijui kama ni dawa au vipi)imladi tu yeye basi mama angu nije nkupeleke ospitali mhh apo nkagoma mana bado naogopa kutolewa figo🙆 nkamwambia apana kuonana swez naumwa ata kumuangalia mtu usoni stowez😭basi akasema subiri jioni niangalie itakuaje sawa staki utesekee mimi nkiwepo 🥰🥰🥰 mie tenaa mhhh mideko inaongezeka nkiambiwa ivo japo simjui
basi jioni nashangaa muamala elfu50 inaingia bila taarifa mie tenaaa kheee 🙄🙄nani uyu mana kiburushiti wang ana ela anipagi ela kama izi ela yake elfu10 kushuka chini ikizidi 20 ndio kajipinda apo mbaka mwisho😏 na siku io nlikua nachati nae mana si mnajua iki kifuvu kimezoea tunaachana tunaludiana kwaio apo tunachati kama kawaida na jey pia nachati nae apo🙌 basi akapiga cm mama kangoe ilo jinoo🥱 mie tena khaaa!! nkasema khaaa jamani uyu kaka mboni ananipa viela au ananivutia ili nionane nae anifany kotu kibaya !!
Basi nkamwambia asantee best mhh ila apendi ilo jina la best jamani ananunaga na viimoji vya kulia 😭😭
Basi kesho yake nkamwambia apa naumwa nmetoa jino nmeenda ospitali ela yotee imeisha nyumbani wanapika ugali na mi mgonjwa sjui nafanyaje😔 mhh apa sasa nkasema acha nimkomoe kwan si ananip mwenyew ngoja nimjalibu nkampa story na mdog angu akasema muombe bana kwani unamjua ww nae acha kumuulumia👌👌 apo kiburushuti mwanamkomavu nae nlisema acha nimwambie pia akanijibu mm sina ela we weka karafuu io dawa bibi angu aliponaga😂khaa uyu bwana apana
Aya nlivomuomba jey akaniambia basi sawa ni kweli kwa hali io itabid ule vyakula laini tuonane na mm nije nkuone mgonjw wangu 🚶 ntakuja .soon
MWANUME MTANDAON 03
Basi bana akaniambia kweli unaitaji vitu laini mama, fanya jioni tuonane nkuletee ata chochote kitu mhh kweli kitu nataka ila kuonana ndio mtihani, nkamjibu dah naumwa sana nlivongoa nmevimba best nkajiboost picha kwa mdomo wangu mdomo ukawa mkubwa kama bata🕊️ basi akanambia uo mdomo wako umekua kama kikalio cha kuku😂 khaa tukacheka🤪 basi nkamuuliza unajali sana jey ivi kwenu uko auna mwanamke au ofisini 🙄unaitaji mwanamke alietulia naona hauna ngoja nkutaftie kabla ajajibu nkamtumia picha ya rafiki angu na misifa juuu uyo katulia sana ana mambo mengi mnajua tenaa🥺 khee jamani amuwezi amini apo kosa langu nini akanuna jamani🥺 akajibu ivi wewe unanichukuliaje kukupenda wewe nmefanya kosa unaanza kua kuadi sio kwani mimi siwaoni ,nkamwambia basi nisamehe
bana wee akanichunia akua akijibu tena meseg zangu😢mala jioni nkaona muamala laki mhh nkafurai 🤗mana kiposongo ajawai kunipa io laki anipe anayo sasa😂yule mbwaa jey akatuma msg io utakula wakipika vigumu apo hom ikawa msg ya mwisho akujibu tena adi wiki nzima antafuti apigi nkipiga apokei mhh nkaanza kummisi lakini nkajipa moyo bana ye nani nkampotezea baada ya wiki na sk kadhaa akatuma msg baby nipo maeneo ya kwenu gest flani nakuomba njoo🥺🥺 khee gest tenaa🚶🚶 naludi
Full 1000
Mwanaume mtandaoni
GREEN HACKER
0
Tags
Simulizi za sauti
Chapisha Maoni
TOA MAONI YAKO HAPA